Nikolaus von Zinzendorf : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Von Zinzendorf.jpg|thumb|links|Nikolaus Ludwig Graf von Zinzendorf, sehemu ya picha ya Balthasar Denner]]
'''Nikolaus Ludwig von Zinzendorf''' ([[26 Mei]] [[1700]] – [[9 Mei]] [[1760]]) alikuwa kiongozi wa kidini kutoka nchini [[Ujerumani]] na [[askofu]] wa [[Kanisa la Moravian]].
 
Alizaliwa mjini Dresden katika familia ya makabaila Wajerumani Waluteri. Babake alikufa alipokuwa mdogo akalelewa na bibi yake aliyemshawishi kwa mwelekeo wa uamsho wa kikristo wa [[upietisti]]. Baada ya kumaliza shule alisoma sheria kwenye chuo kikuu cha [[Wittenberg]]; baada ya masomo yake alifanya safari ya kuzunguka Ulaya jinsi ilivyokuwa kawaida kwa vijana makabaila wa siku zile. Kwenye safari hii alikutana na kuwa rafiki na viongozi wa madhehebu mbalimbali kama Wareformed, Wakatoliki, Walutheri na wengine.