Lamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Lamu (mji) umesogezwa hapa Lamu: jina
Mstari 46:
 
===Kukwama na kurudi nyuma===
Sehemu ya pili ya karne ya 19 iliona mabadiliko tena. Usultani wa Zanzibar ulikuwa umerithi ubwana wa pwani kutoka Omani lakini uliweza kukazia utawala wake kwa sababu haukuwa mbali mno. Katika miaka tangu 1880 nchi za Ulaya zilianza kujenga ukoloni wao. Wajerumani walianzisha koloni yao katika [[Witu]] wakajenga ofisi ya Posta ya Ujerumani kwenye mji wa Lamu kwa sababu palikuwa na bandari iliyo karibu zaidi. Lakini kuja kwa Wazungu na meli zao kubwa kuliondoa pia sehemu ya biashara kutoka Lamu. Meli kubwa zilipendelea mabandari makubwa zaidi kama Mombasa au Malindi.
 
== Headline text ==