Mvutano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: eu:Grabitazio Badiliko: zh:引力
d sahihisho dogo
Mstari 1:
'''Graviti''' (pia: '''nguvu mvutano''') ni kani ya uvutano iliyopo kati ya magimba yote ya ulimwengu. Kila gimba lenye [[masi]] linavuta magimba yote mengine yenye masi.
 
Hii ni sababu ya kwamba tunatembea duniani badala ya kuelea kwa sababu masi ya dunia inatuvuta kuelekea katikatikitovu yakechake. Sisi tuna uvutano wa dunia pia lakini hali halisi kani hii ni ndogo mno kulingana na nguvu ya masi kubwa ya dunia. Wakati huohuo dunia yetu inavutwa na jua na hii ni sababu ya kwamba dunia inazunguka jua na haiwezi kukimbia mbali nayo.
 
Tukitupa jiwe hewani itaanguka tena chini. Hii ni kwa sababu kani ya mkono ilipeleka jiwe kwa njia ya kwenda juu lakini kani ya uvutano wa dunia inairudisha.