Nikolaus von Zinzendorf : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Von Zinzendorf.jpg|thumb|links|Nikolaus Ludwig Graf von Zinzendorf, sehemu ya picha ya Balthasar Denner]]
'''Nikolaus Ludwig von Zinzendorf''' ([[26 Mei]] [[1700]] – [[9 Mei]] [[1760]]) alikuwa kiongozi wa
==Maisha==
Alizaliwa mjini Dresden katika familia ya makabaila Wajerumani Waluteri. Babake alikufa alipokuwa mdogo akalelewa na bibi yake aliyemshawishi kwa mwelekeo wa uamsho wa kikristo wa [[upietisti]]. Baada ya kumaliza shule alisoma sheria kwenye chuo kikuu cha [[Wittenberg]]; baada ya masomo yake alifanya safari ya kuzunguka Ulaya jinsi ilivyokuwa kawaida kwa vijana makabaila wa siku zile. Kwenye safari hii alikutana na kuwa rafiki na viongozi wa madhehebu mbalimbali kama Wareformed, Wakatoliki, Walutheri na wengine. ▼
Alizaliwa mjini [[Dresden]] katika [[familia]] ya makabaila Wajerumani [[Walutheri]]. Baba yake alikufa alipokuwa mdogo, akalelewa na bibi yake aliyemshawishi kwa mwelekeo wa [[uamsho]] wa Kikristo wa [[upietisti]].
▲
Kati 1721 hadi 1732 alikuwa mshauri wa kisheria kwenye ikulu ya mfalme [[August II (Polonia)|August wa Saksonia]] huko Dresden.▼
▲Kati ya miaka [[1721]]
[[picha:Graf Nikolaus Ludwig von Zinzendorf Denkmal Herrnhut.jpg|thumb|Sanamu ya kumbukumbu ya Zinzendorf katika Herrnhut]]▼
▲[[picha:Graf Nikolaus Ludwig von Zinzendorf Denkmal Herrnhut.jpg|thumb|[[Sanamu]] ya kumbukumbu ya Zinzendorf
1722 alimwoa mke wake Erdmuthe na mwaka uleule alinunua mashamba ya kikabaila ya Berthelsdorf kutoka bibi yake iliyokuwa eneo dogo lenye kijiji kimoja alipotawala kama mtemi aliyekuwa hapa chini ya [[Kaisari]] pekee, ingawa eneo lake ndogo lilikuwa ndani ya jimbo kubwa ya [[Saksonia]]. Katika eneo hili alianza kupokea wakimbizi kutoka [[Moravia]] waliokuwa wafuasi wa [[Umoja wa Ndugu]] wa kale, mwelekeo wa kiprotestanti wa [[Bohemia]] na Moravia iliyopigwa marufuku tangu mwisho wa [[vita ya miaka 30]]. Aliwapa wakimbizi hao ardhi walipojenga kijiji kipya cha [[Herrnhut]]; hapa waliunda "Umoja wa Ndugu ulioanzishwa upya" unaojulikana kama [[Kanisa la Moravian]] au pia Ndugu wa Herrnhut. Kutoka Herrrnhut desturi ya kuchagua beti ya [[Biblia]] kama neno la mwongozo kwa kila siku ilianza kusambaa na mkusanyo wa maneno haya yajulikana kama [[Kiongozi Kalenda]]. ▼
Mwaka [[1722]] alimwoa Erdmuthe na mwaka uleule alinunua mashamba ya kikabaila ya [[Berthelsdorf]] kutoka bibi yake. Ilikuwa eneo dogo lenye [[kijiji]] kimoja alipotawala kama [[mtemi]] chini ya [[Kaisari]] pekee, ingawa eneo lake dogo lilikuwa ndani ya [[jimbo]] kubwa La [[Saksonia]].
Mwaka 1731 Zinzendorf alitembelewa na nduguye mkabaila mmoja kutoka [[Denmark]] aliyefika pamoja na mtumishi wake aliyewahi kuwa mtumwa Mwafrika kutoka [[Visiwa vya Karibi]]. Masimulizi ya huyu Mwafrika yalihamasisha ndugu wa Herrnhut kutuma wahubiri kwenda Karibi na hii ilikuwa chanzo cha uenezaji wa kimataifa wa kanisa la Moravian. Zinzendorf aliwaandalia safari akitumia mawasiliano na ikulu ya mfalme wa Denmark. Zinzendorf mwenyewe alitembelea ndugu wa Herrnhut waliosafiri kuhubiri [[Saint Thomas (Karibi)]], [[Marekani]], [[London]] na nchi jirani za [[Bahari Baltiki]]. ▼
▲
Aliendelea kusoma [[theolojia]] na mwaka [[1734]] akabarikiwa kama mchungaji Mluteri. Hata hivyo alifukuzwa katika Saksonia (hapa Uluteri ilikuwa dini rasmi) kutokana na mashaka kuhusu imani yake akapaswa kuhamia sehemu nyingine za Ujerumani alipoanzisha jumuiya mpya ya wafuasi wa Umoja wa Ndugu. Mwaka 1737 alibarikiwa kama askofu wa Umoja wa Ndugu na askofu wa Umoja huu kutoka Polonia ambako shirika chache za Umoja wa kale ziliweza kuendelea. ▼
Kutoka Herrnhut desturi ya kuchagua [[ubeti]] wa [[Biblia]] kama neno la mwongozo kwa kila siku ilianza kusambaa: mkusanyo wa maneno haya yanajulikana kama [[Kiongozi Kalenda]].
Kipindi hiki cha kukataliwa kuingia Saksonia Zinzendorf alisafiri akatembelea ndugu wa Herrnhut waliosafiri kuhubiri [[Saint Thomas (Karibi)]], [[Marekani]], [[London]] na nchi jirani za [[Bahari Baltiki]]. ▼
▲Mwaka [[1731]] Zinzendorf alitembelewa na nduguye mkabaila mmoja kutoka [[Denmark]] aliyefika pamoja na mtumishi wake
Mwaka 1747 aliruhusiwa kurudi Saksonia na ndugu wa Herrnhut walikubaliwa kama jumuiya iliyoshikamana na kanisa la kiluteri la Saksonia. Mke wake Erdmute aliyezaa watoto 12 aliaga dunia mwaka 1756 na baadaye akamwoa [[Anna Nitschmann]] mmoja wa wakimbizi kutoka Moravia. ▼
▲
Zinzendorf anakumbukwa kama baba wa kiroho wa kanisa la Moravian. Alitunga nyimbo nyingi zinazoimbwa kwa Kijerumani hado leo na nyingine zimetafsiriwa katika lugha mbalimbali.▼
▲Aliendelea kusoma [[
Mwaka [[1737]] alibarikiwa kama askofu wa Umoja wa Ndugu na askofu wa Umoja huu kutoka [[Polandi]] ambako shirika chache za Umoja wa kale ziliweza kuendelea.
▲Mwaka [[1747]] aliruhusiwa kurudi Saksonia na ndugu wa Herrnhut walikubaliwa kama jumuiya iliyoshikamana na kanisa la
▲Zinzendorf anakumbukwa kama baba wa kiroho wa kanisa la Moravian. Alitunga nyimbo nyingi zinazoimbwa kwa Kijerumani
{{Commons|Nikolaus Ludwig von Zinzendorf}}
{{DEFAULTSORT:Zinzendorf, Nikolaus von}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1700]]
[[Jamii:Waliofariki 1760]]
[[Category:Watu wa Ujerumani]]
[[Category:Moravian]]
[[cs:Nikolaus Ludwig von Zinzendorf]]
|