Mvutano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d sahihisho dogo
Infidel dogs and infidel bitches do not deserve articles nor p.b.u.h. after their names MY CROSSWIKI JIHAD: http://toolserver.org/~luxo/contributions/contributions.php?user=Aminullah&blocks=true&lang=en
Mstari 1:
'''Graviti''' (pia: '''nguvu mvutano''') ni kani ya uvutano iliyopo kati ya magimba yote ya ulimwengu. Kila gimba lenye [[masi]] linavuta magimba yote mengine yenye masi.
 
Hii ni sababu ya kwamba tunatembea duniani badala ya kuelea kwa sababu masi ya dunia inatuvuta kuelekea kitovu chake. Sisi tuna uvutano wa dunia pia lakini hali halisi kani hii ni ndogo mno kulingana na nguvu ya masi kubwa ya dunia. Wakati huohuo dunia yetu inavutwa na jua na hii ni sababu ya kwamba dunia inazunguka jua na haiwezi kukimbia mbali nayo.
 
Tukitupa jiwe hewani itaanguka tena chini. Hii ni kwa sababu kani ya mkono ilipeleka jiwe kwa njia ya kwenda juu lakini kani ya uvutano wa dunia inairudisha.
 
Tabia ya kuvutana inaonekana vema ati ya unia na mwezi. Dunia ni ubwa inaivuta mwezi na kuushika kwenye njia yake ya kazunguka. Lakini wakati huohuo mwezi unavuta pia dunia na hii inaonekana baharini katika mabadiliko ya [[maji kupwa]] na maji kujaa. Maji ya bahari inavutwa na mwezi kiasi cha kwamba sehemu ya bahari iliyo moja kwa moja chini ya mwezi iko nusu mita juu ya wastani.
 
[[Isaac Newton]] anajulikana kama mtaalamu aliyeweza kueleza graviti mara ya kwanza kama utaratibu wa kimsingi wa kisayansi.
{{mbegu-fizikia}}
 
[[Jamii:Fizikia]]
 
[[af:Swaartekrag]]
[[als:Gravitation]]
[[am:ግስበት]]
[[an:Gravedat]]
[[ar:جاذبية (فيزياء)]]
[[ast:Gravedá]]
[[az:Cazibə qüvvəsi]]
[[be:Гравітацыя]]
[[be-x-old:Гравітацыя]]
[[bg:Гравитация]]
[[bn:মহাকর্ষ]]
[[br:Gravitadur]]
[[bs:Gravitacija]]
[[ca:Gravetat]]
[[chr:ᏄᏓᎨᏒ (Gravitation)]]
[[cs:Gravitace]]
[[cy:Disgyrchiant]]
[[da:Gravitation]]
[[de:Gravitation]]
[[diq:Antışê erdi]]
[[el:Βαρύτητα]]
[[en:Gravitation]]
[[eo:Gravito]]
[[es:Gravedad]]
[[et:Gravitatsioon]]
[[eu:Grabitazio]]
[[ext:Graveá]]
[[fa:گرانش]]
[[fi:Painovoima]]
[[fr:Gravitation]]
[[fy:Swiertekrêft]]
[[ga:Imtharraingt]]
[[gl:Gravidade]]
[[gv:Ym-hayrn]]
[[he:כבידה]]
[[hr:Gravitacija]]
[[hu:Gravitáció]]
[[ia:Gravitate]]
[[id:Gravitasi]]
[[is:Þyngdarafl]]
[[it:Interazione gravitazionale]]
[[ja:重力]]
[[jbo:maircpukai]]
[[ka:გრავიტაცია]]
[[kn:ಗುರುತ್ವ]]
[[ko:중력]]
[[ku:Rakêş]]
[[la:Gravitas (physica)]]
[[lb:Gravitatioun]]
[[lmo:Forza de gravità]]
[[lt:Gravitacija]]
[[lv:Gravitācija]]
[[mk:Гравитација]]
[[ml:ഗുരുത്വാകര്‍ഷണം]]
[[mn:Гравитаци]]
[[mr:गुरुत्वाकर्षण]]
[[ms:Graviti]]
[[nds:Gravitatschoon]]
[[nl:Zwaartekracht]]
[[nn:Gravitasjon]]
[[no:Tyngdekraft]]
[[nov:Gravitatione]]
[[pl:Grawitacja]]
[[pnb:گریوٹی]]
[[pt:Gravidade]]
[[qu:Llasaturaku]]
[[ro:Gravitație]]
[[ru:Гравитация]]
[[sc:Gravidade]]
[[scn:Gravitazzioni univirsali]]
[[sh:Gravitacija]]
[[simple:Gravitation]]
[[sk:Gravitácia]]
[[sl:Težnost]]
[[so:Cuf is-jiidad]]
[[sq:Graviteti]]
[[sr:Гравитација]]
[[su:Gravitasi]]
[[sv:Gravitation]]
[[ta:புவியீர்ப்பு விசை]]
[[te:గురుత్వాకర్షణ]]
[[th:ความโน้มถ่วง]]
[[tl:Dagsin]]
[[tr:Kütleçekim]]
[[uk:Гравітація]]
[[ur:ثقالت]]
[[vi:Tương tác hấp dẫn]]
[[war:Hulog-bug-át]]
[[yi:גראוויטאציע]]
[[zh:引力]]
[[zh-min-nan:Tāng-le̍k]]