Infidel dogs and infidel bitches do not deserve articles nor p.b.u.h. after their names MY CROSSWIKI JIHAD: http://toolserver.org/~luxo/contributions/contributions.php?user=Aminullah&blocks=true&lang=en
[[Picha:Flag of Moravia.svg|thumb|250px|Bendera ya Moravia]]
[[Picha:CZ-cleneni-Morava-wl.png|thumb|250px|Moravia katika jamhuri ya Uceki]]
'''Moravia''' ([[Kicheki]] na [[Kislovakia]]: ''Morava''; [[Kijerumani]]: Mähren; [[Kihungaria]]: Morvaország; [[Kipoland]]:Morawy) ni mkoa wa kihistoria katika mashariki ya [[Ucheki]]. Jina limetokana na [[mto Morava]].
Pamoja na [[Bohemia]] eneo la Moravia ni sehemu muhimu ya Ucheki ambayo ni nchi iliyoanzishwa mwaka [[1993]] baada ya [[Slovakia]] kutoka katika [[Chekoslovakia]].
Mji mkuu wa Moravia ni mji wa [[Brno]] ([[Kijer.]]: Brünn).
Moravia ilikaliwa na makabila ya [[Waslavoni]] tangu [[karne ya 6]]. Katika [[karne ya tisa]] [[milki ya Moravia]] ilikuwa nchi muhimu zaidi kati ya Waslavoni wa Ulaya. Mwanzo wa [[karne ya 10]] milki hii iliporomoka kutokana na uenezaji wa [[Ujerumani]] upande wa magharibi na wa [[Hungaria]] upande wa mashariki-kusini. Baadaye watawala wa Bohemia na Moravia waliwaalika Wajerumani kuhamia kwa na kuunda miji na kijiji. Hivyo takriban 1/3 ya wakazi wa Moravia waliongea [[Kijerumani]] hadi 1945 wakati wajerumani walifukuzwa katika Chekoslovakia.
Katika karne zilizofuata Moravia ilikuwa chini ya athira ya [[Poland]] au [[Ujerumani]] ikaendelea kuwa sehemu ya [[Dola Takatifu la Kiroma]] na tangu [[1526]] chini ya utawala wa familia ya [[Habsburg]] na baadaye ilitawaliwa kama sehemu ya milki ya [[Austria]].
Wakati wa kupasuliwa kwa [[Austria-Hungaria]] mwaka [[1918]] Moravia ilikuwa sehemu la nchi ya Chekoslovakia na tangu [[1993]] ya Ucheki.
Jina la Moravia linatumiwa na kanisa la kiprotestanti linalojulikana katika nchi nyingi kama "[[Kanisa la Moravian]]".