Kanisa la Moravian Kusini Magharibi Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Infidel dogs and infidel bitches do not deserve articles nor p.b.u.h. after their names MY CROSSWIKI JIHAD: http://toolserver.org/~luxo/contributions/contributions.php?user=Aminullah&blocks=true&lang=en
Mstari 1:
'''Kanisa la Moravian Kusini Magharibi Tanzania (KMKMT)''' (pia kwa Kiingereza: Moravian Church in South West Tanzania - MCSWT) ni [[jimbo]] la [[Kanisa la Moravian Tanzania]] hasa katika wilaya za [[Mbeya]], [[Mbozi]], [[Chunya]] na [[Mbarali]] wa [[mkoa wa Mbeya]]. Pia shirika mpya za Moravian katika kaskazini ya [[Tanzania]] ziko chini ya jimbo hili ambazo ni [[Arusha]], [[Kilimanjaro]], [[Tanga]], [[Dodoma]] na [[Manyara]].
 
==Historia==
Jimbo hili lilianza rasmi tarehe 18 Desemba 1976 kutokana na kuongezeka kwa shirika na kazi ya uenezi wa Injili. Kabla ya kuanza kwa Jimbo hili Wamoravian wa Mbeya, Chunya, Mbozi , Mbarali walikuwa wakihudumiwa na [[Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini|Jimbo la Kusini]] lenye makao yake makuu [[Rungwe]]. Jimbo la Kusini Magharibi Makao yake makuu yako [[mbeya (mji)|Mbeya]].
 
Viongozi wa kwanza wa Jimbo hili waliochaguliwa mwaka huohuo 1976 walikuwa ni Mchungaji [[Tulinawo Msinjili]]- Mwenyekiti, Mchungaji Yohana Wavenza- Makamu wa Mwenyekiti na Mchungaji Hezron Mwalupembe - Katibu Mkuu. Wajumbe wa Halmashauri Kuu wa Kwanza walikuwa ni Mwinjilisti L. Sikana, Mchungaji Tenson Sikaponda, Mchungaji Philip Cheyo, Ndugu Zebedayo Mkisi na Ndugu Yoram Mtemi.
 
Askofu wa kwanza [[Yohana Wavenza]] aliwekwa wakfu kuwa askofu wa jimbo hili tarehe 24 Julai 1983. Askofu wa Pili wa Jimbo hili [[Alinikisa Cheyo]] aliwekwa wakfu tarehe 12 August 2001 katika uwanja wa mpira Sokoine Mbeya.
 
==Utawala==
Kama majimbo yote ya kanisa la Moravian jimbo hili laongozwa na Kamati ya Utendaji inayochaguliwa na [[sinodi]] ya kanisa. Watendaji wakuu ni mwenyekiti, makamu wake na katibu mkuu. Wanatoa taarifa kwa halmashauri kuu inayochaguliwa pia na sinodi ikikutana kati ya mikutano ya ile bodi kuu. Watendaji wakuu wanasaidiana na makatibu wa idara mbalimbali wanaoteuliwa na halmashauri ya kanisa.
 
Jimbo hili tangu mwaka 2008 linaongozwa na watendaji wafuatao: Mchungaji Nosigwe Buya - Mwenyekiti, Mchungaji Zakaria Sichone - Makamu Mwenyekiti na Mchungaji Daudi Nsweve Katibu Mkuu.
 
Jimbo hili lina miradi na huduma zifuatazo: Hospitali ya Mbozi, Sekondari ya Mbozi, Hostel Mbeya, Chuo cha Ualimu Mbeya,Baraka FM Radio Mbeya, Chuo Cha Ufundi Mbeya na Printing Press Mbeya. Mwaka 2011/2012 kuna mipango ya kuanzisha Chuo cha Nursing Mbozi Seminary Mbeya na Sekondari Mbeya
 
[[Jamii:Moravian]]
[[Jamii: Dini katika Tanzania|M]]