Kiruna : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
nyongeza kidogo
Mstari 1:
[[Picha:Kiruna.jpg|thumb|350px|Kiruna]]
[[Picha:Kiruna in Sweden.png |thumb|250px|]]
'''Kiruna''' (kisami ya kaskazini: ''Giron''; Kifini: ''Kiiruna'') ni mji na manispaa ya kaskazini kabisa nchini [[Uswidi]]. Kuna wakazi 18,154 (mwaka 2005).
 
Kiruna ni mji ulioanzishwa 1899 kama kituo cha [[migodi]] ya kuchimba [[chuma]]. Mwaka uleule njia ya [[reli]] ilikamilishwa hadi mahali pa mji mpya iliyokuwa lazima kwa kubeba madini ya chuma. Mji uko katikati ya milima miwili yenye asilimia kubwa ya madini ya chuma.
 
Uchimbaji chuma umeshamaliza akiba juu ya uso wa ardhi na kuendelea chini ya ardhi. Kwa sababu hiyo mji uliojengwa juu ya madini utahamishwa umbali wa kilomita 5 ili kuwezesha kuchimbwa chini ya mji wa sasa.
 
== Jiografia ==