Ofisi ya Kimataifa ya Vipimo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nyongeza kidogo
No edit summary
Mstari 1:
'''Ofisi ya Kimataifa ya Vipimo''' ([''[kifar.]]: '''Bureau international des poids et mesures'''; [[Kiing.]] '''International Bureau of Weights and Measures''''') ni chama cha kimataifa mjini [[Paris]] chenye shabaha ya kutunza utaratibu wa [[vipimo sanifu vya kimataifa]] (SI).
 
Chanzo chake kilikuwa mapatano ya kimataifa kuhusu [[mita]] ya [[1875]].