Tofauti kati ya marekesbisho "Karl Marx"

4 bytes added ,  miaka 9 iliyopita
no edit summary
d (r2.7.1) (roboti Badiliko: th:คาร์ล มาร์กซ์)
Baadaye Marx alipaswa kukimbia Ulaya bara akapata kimbilio Uingereza alipoishi London hadi kifo chake, akitumia muda mwingi kwenye maktaba ya Britania. Alikuwa na vipindi vya umaskini mkali lakini alipata tena msaada kutoka kwa rafiki yake Engels. Kwa miaka kadhaa alikuwa mwanahabari wa gazeti la Marekani "New York Tribune".
 
Huko London aliandika kitabu chake kikuu "Das Kapital" (yaani "[[Rasilmali]]").
 
Aliaga dunia 14 Machi 1883 akazikwa kwenye makaburi ya Highgate Cemetery.