Tofauti kati ya marekesbisho "Jakaya Kikwete"

1988 akateuliwa kuwa mbunge na waziri msaidizi. 1990 alichaguliwa kuwa mbunge wa Bagamoyo/[[Chalinze]] akirudishwa kila uchaguzi hadi mw. 2000. Akawa waziri akipita katika wizara za maji na fedha.
 
1995 alijaribu kuchaguliwa kuwa mgombea wa uraisuraisi upande wa [[CCM]]. Inasemekana ya kwamba Mwl. [[Julius Nyerere]] alimwomba wakati ule kumwachia [[Benjamin Mkapa]] nafasi aliyeteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM. Kikwete akawa Waziri ya Mambo ya Nje katika serikali zote mbili za Mkapa.
 
Mwaka 2005 alifaulu kuteuliwa mgombea wa CCM kwa nafasi ya raisraisi na akashinda uchaguzi wa Desemba 2005 akizoa 80% za kura zote.
 
== Viungo vya nje ==