Karl Marx : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Karl Marx 001.jpg|thumb|200px|Karl Marx]]
'''Karl Marx''' ([[1818]] - [[1883]]) alikuwa [[mwanafalsafa]] kutoka nchini [[Ujerumani]] ambaye pamoja na [[Friedrich Engels]] alianzisha [[ukomunisti]].
 
== Maisha yake ==
 
Alizaliwa mjini [[Trier]] tarehe [[5 Mei]] [[1818]]. Kati ya [[1835]] na [[1841]] alisoma sheria, historia na falsafa.
 
Kati ya [[1835]] na [[1841]] alisoma [[sheria]], [[historia]] na [[falsafa]].
Tangu [[1842]] alikuwa mwandishi mkuu wa gazeti la ''Rheinische Zeitung'' mjini [[Köln]]. Alisimama upande wa wafuasi wa demokrasia dhidi ya utawala wa watemi na wafalme katika Ujerumani.
 
Tangu [[1842]] alikuwa mwandishi mkuu wa [[gazeti]] la ''Rheinische Zeitung'' mjini [[Köln]]. Alisimama upande wa wafuasi wa [[demokrasia]] dhidi ya utawala wa watemi na wafalme katika Ujerumani.
Kutokana na upinzani huo serikali ya [[Prussia]] ilimkataza asiandike tena kwenye magazeti hivyo alihamia Ufaransa. Alipokaa mjini Paris alianza kuandika juu ya ujamaa kama ukamilisho wa demokrasia.
 
Kutokana na upinzani huo [[serikali]] ya [[Prussia]] ilimkataza asiandike tena kwenye magazeti, hivyo alihamia [[Ufaransa]]. Alipokaa mjini [[Paris]] alianza kuandika juu ya [[ujamaa]] kama ukamilisho wa demokrasia.
Baada ya kuhamia Brussels katika Ubelhiji alitunga pamoja na Engels kijitabu cha [[Manifesto ya Chama cha Kikomunisti]] (Ilani ya kikomunisti) alimotangaza imani yake ya kwamba "historia ya jamii zote ni historia ya mapambano ya matabaka". Alichora picha ya historia ambako jamii ya kikabaila imezaa ngazi mpya ya ubepari; hapo alitabiri kwamba ubepari utazaa tena mbegu wa uharibifu wake na utafuatwa na ujamaa au ukomunisti. Ukomunisti utakuwa na jamii bila matabaka na bila utawala. Aliona ya kwamba wafanyakazi kama tabaka linalozalisha utajiri wanapaswa kuchukua utawala mikononi mwao kwa njia ya mapinduzi akawaalika, "Wafanyakazi wa nchi zote muungane!".
 
Baada ya kuhamia [[Brussels]] katika Ubelhiji[[Ubelgiji]] alitunga pamoja na Engels kijitabu cha [[Manifesto ya Chama cha Kikomunisti]] (Ilani ya kikomunisti) alimotangaza [[imani]] yake ya kwamba "historia ya jamii zote ni historia ya mapambano ya matabaka". Alichora picha ya historia ambako jamii ya kikabaila imezaa ngazi mpya ya [[ubepari]]; hapo alitabiri kwamba ubepari utazaa tena mbegu wa uharibifu wake na utafuatwa na ujamaa au ukomunisti. Ukomunisti utakuwa na jamii bila matabaka na bila [[utawala]]. Aliona ya kwamba wafanyakazi kama [[tabaka]] linalozalisha [[utajiri]] wanapaswa kuchukua utawala mikononi mwao kwa njia ya [[mapinduzi]] akawaalika, "Wafanyakazi wa nchi zote muungane!".
Baadaye Marx alipaswa kukimbia Ulaya bara akapata kimbilio Uingereza alipoishi London hadi kifo chake, akitumia muda mwingi kwenye maktaba ya Britania. Alikuwa na vipindi vya umaskini mkali lakini alipata tena msaada kutoka kwa rafiki yake Engels. Kwa miaka kadhaa alikuwa mwanahabari wa gazeti la Marekani "New York Tribune".
 
Baadaye Marx alipaswa kukimbia [[Ulaya bara]] akapata kimbilio [[Uingereza]] alipoishi [[London]] hadi [[kifo]] chake, akitumia muda mwingi kwenye [[maktaba]] ya [[Britania]]. Alikuwa na vipindi vya [[umaskini]] mkali lakini alipata tena msaada kutoka kwa rafiki yake Engels. Kwa miaka kadhaa alikuwa mwanahabari wa gazeti la [[Marekani]] "New York Tribune".
 
Huko London aliandika kitabu chake kikuu "Das Kapital" (yaani "[[Rasilmali]]").
 
Aliaga dunia tarehe 14 Machi 1883 akazikwa kwenye makaburi ya Highgate Cemetery.
 
== Falsafa yake ==
 
Kwa Marx kazi ya falsafa haikuwa kueleza dunia ilivyo bali kuibadilisha. Alifundisha ya kwamba mawazo, fikra na imani zote zinatokana na hali ya [[uchumi]] na [[teknolojia]] katika [[jamii]].
 
Mwenyewe aliathiriwa sana na [[Georg Wilhelm Friedrich Hegel]] na kutoka kwake alipokea hoja laya kuwa historia linafuata kanuni zake likielekezwa kwakwenye lengo maalumu. Tofauti na Hegel aliona historia haisukumwi na "roho ya ulimwengu" lakinibali na nguvu za uchumi wa jamii na namna ya kujipatia [[riziki]] za maisha.
 
Kutokana na msingi huu Marx alikataa [[dini]] na imani ya [[Mungu]]. Kwake dini ni itikadi ya jamii ya uwongo na pamoja na sahihisho la jamii alitarajia ya kwamba dini itapotea.
Line 28 ⟶ 30:
== Matokeo yake ==
 
Baada ya kifo chake Engels aliendelea kutoa maandiko yake kama vitabu.

Marx alikuwa na athira kubwa kati ya vyama vya wafanyakazi vya [[Ulaya]] vyenye mwelekeo wa kisoshalisti.
 
Baadaye kundi kali kati ya wasoshalisti [[Warusi]] chini ya [[Lenin]] iliendelea kupanua mafundisho ya Marx kwa "Umarx-Ulenin" iliyokuwa itikadi rasmi ya vyama vya kikomunisti.
 
Marx aliheshimiwa kama [[nabii]] katika nchi zilizotawaliwa na Wakomunisti, kuanzia [[Urusi]] hadi kuenea kwa thuluti moja ya watu wote duniani.
Baadaye kundi kali kati ya wasoshalisti Warusi chini ya [[Lenin]] iliendelea kupanua mafundisho ya Marx kwa "Umarx-Ulenin" iliyokuwa itikadi rasmi ya vyama vya kikomunisti.
 
Hasa kuanzia mwaka [[1989]] athari yake imepungua.
Marx aliheshimiwa kama nabii katika nchi zilizotawaliwa na Wakomunisti, kuanzia [[Urusi]] hadi kuenea kwa thuluti moja ya watu wote duniani.
 
== Viungo vya Nje ==