Kitabu cha Nahumu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Badiliko: sr:Књига Наума
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Nahum-prophet.jpg|thumb|Nabii Nahumu katika picha ya [[Waorthodoksi]] ya [[karne XVIII]].
'''Kitabu cha Nahum''' (kwa [[Kiebrania]] '''נחום''') ni kimojawapo kati ya vitabu 12 vya gombo la [[Manabii wadogo]] katika [[Tanakh]] (yaani [[Biblia ya Kiebrania]]) na kwa hiyo pia katika [[Agano la Kale]] katika [[Biblia ya Kikristo]]. Kimo katika .
]]

== Muda ==
 
Kitarehe kinashika nafasi kati ya kile cha [[nabii Mika]] nakilena kile cha [[Habakuki]].
 
== Mada ==
 
Kinashangilia kwa ufasaha wa kishairi ujio wa maangamizi ya dola la [[Waashuru]] na ya makao yao makuu, [[Ninawi]] ([[612 a.C.KK]]): kwa ufasaha wa kishairi.hivyo Aduiadui wa taifa na wa [[Mungu]] hatimaye ataadhibiwa.
 
== Mtunzi ==
 
Mtunzi anadhaniwa kuwa [[nabii]] wa [[Yerusalemu]] wakati wa [[mfalme Yosia]] wa nchi ya [[Yuda]].
 
== Ufafanuzi ==
Line 25 ⟶ 27:
 
[[Jamii:Vitabu vya Agano la Kale]]
[[Jamii:Watu wa Biblia]]
 
[[ar:سفر ناحوم]]