Zanj : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
→Viungo vya Nje: clean up using AWB |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[picha:Zanj.jpg|thumb|250px|Eneo la Zanj ya kihistoria kwenye ramani ya Afrika ya Mashariki]]
'''Zanj''' ([[Kiarabu]] na [[Kifarsi]] '''زنج''') ni neno lililotumiwa na waandishi Waislamu wa zamani kutaja watu weusi kutoka Afrika ya Mashariki na pia kwa maana ya kijiografia kutaja eneo la [[Afrika ya Mashariki]].
|