Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
No edit summary
Mstari 2:
 
==Mikataba ya ulinzi na machifu wa Tanganyika==
<small>''(kwa habari za undani tazama [[Karl Peters#Peters alianzisha Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]])</small><br>''
IlianzishwaKampuni hii ilianzishwa kwa jina la "Shirika kwa koloni za Kijerumani" mwaka 1884. Wawakilishi wake walisafiri mwaka uleule Zanzibar na kuingia Tanganyika barani. Walitembelea machifu kadhaa upande wa mashariki wa maeneo chini ya utawala wa Zanzibar kwenye pwani. Hapa waliongea vizuri na machifu wakawaambia ya kwamba mfalme mkubwa huko Ulaya anawapenda yu tayari kuwasaidia dhidi ya maadui na pia dhidi ya Wazanzibari. Waliombwa kukubali urafiki na mfalme mkubwa wa [[Berlin]] na kutia sahihi mikataba ya urafiki na ulinzi. Machifu kadhaa walitia sahihi kwenye mikataba yaliyoandikwa kwa Kijerumani bila kuelewa walichofanya wala yaliyomo ya mikataba ile. Maneno ya mle yalisema ya kwamba chifu anakabidhi nchi yake yote kwa kampuni pamoja na haki za matumizi na haki za mali ya ardhi, biashara na kodi.
 
==Barua ya ulinzi kutoka serikali ya Ujerumani==