Maandishi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
sahihisho dogo
viungo
Mstari 5:
Sehemu kubwa ya maandishi duniani inatumia [[alfabeti]] mbalimbali na kati yao [[alfabeti ya Kilatini]] imesambaa zaidi ikifuatwa na [[alfabeti ya Kiarabu]] na [[alfabeti ya Kikirili]].
 
Asia ya Mashariki imeendelea kutumia maandishi yake ya alama zinazoonyesha neno lote badala ya herufu[[herufi]] tu. Mtindo wa kutumia alama kwa neno lote ulitumiwa pia katika tamaduni za [[Misri ya Kale]] au [[Meksiko ya Kale]] Katika sehemu nyingine za dunia.
 
Miandiko ya Kihindi[[Uhindi]] inayotokana na [[mwandiko wa Brahmi]] hutumia miandiko mbalimbali inayoonyesha [[silabi]]. Hata lugha za Kiethopia[[Ethiopia]] hufuata mtindo wa kufanana nayo.
 
[[Image:Ägyptische Sammlung 10.jpg|thumb|350px|Sanamu ya mwandishi ([[Misri ya Kale]])]]