Kisanskrit : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: yi:סאנסקריט
No edit summary
Mstari 2:
'''Sanskrit''' ni lugha ya kale ya [[Uhindi]]. Ni maarufu kama lugha ya vitabu vitakatifu vya [[Uhindu]] na [[Ubuddha]].
 
Siku hizi ni lugha ya elimu na ya kidini inayojifunzwa na wataalamu na makuhani. Katika shule za sekondari nchini Uhindi inafundishwa pia na wanafunzi wengi wanapata kiwango fulani cha lugha hii. Zamani ilijadiliwa na watu kama lugha ya kawaida. Tangu karne kadhaa huandikwa kwa mwandiko wa [[Devanagari]].
 
Sanskrit imepangwa pamoja na [[Kihindi]] na [[Kiurdu]] kati ya [[Lugha za Kihindi-Kiarya]] ambazo ni kitengo cha [[Lugha za Kihindi-Kiajemi]] ndani ya familia ya [[lugha za Kihindi-Kiulaya]]