Kifinisia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: bjn:Bahasa Pinisia
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Phoenician alphabet.svg|thumb|200px|AlfabetiAbjadi ya Kifinisia]]
[[Picha:Lamine Pyrgi.jpg|thumb|200px|Mwandishi wa Kifinisia]]
 
Mstari 6:
Ilikuwa lugha ya [[Wafinisia]] ikaenea pamoja nao katika [[koloni]] zao hadi [[Afrika ya Kaskazini]] kama [[Karthago]] na [[Hispania]].
 
Kifinisia ilikuwa lugha ya kwanza iliyoandikwa kwa aina ya [[alfabeti]] iliyoendelezwa baadaye katika [[alfabeti ya Kigiriki]]. Hali halisi mwandiko huu ulikuwa [[abjadi]] ukawa mama wa miandiko yote ya Kisemiti (kama [[herufi za Kiarabu]] na [[Kiebrania]]) na pia wa alfabeti zote zilizofuata alfabeti za Kigiriki na [[alfabeti ya Kilatini|Kilatini]].
 
[[Jamii:Lugha za Kisemiti]]