Mawasiliano ya simu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mawasilianoanga''' ''(tafsiri ya Kiing.-Kigiriki "telecommunication" kutoka Kigir. ''tele'' "mbali" Kiing. ''communication'' "kupeana habari, mawasilian...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Mawasilianoanga''' ''(tafsiri ya [[Kiing.]]-[[Kigiriki]] "telecommunication" kutoka Kigir. ''tele'' "mbali" Kiing. ''communication'' "kupeana habari, mawasilianio")'' ni kazi ya kupeana habari juu ya umbali tofauti na maongezi ya moja kwa moja kati ya watu walio karibu.
 
Zamani mawasiliano kwa umbali yalitekelezwa kwa msaada wa ngoma maalumu, alama za moto kutoka mlimani au alama za moshi zilizoonekana kwa mbali. Katika historia ya Ulaya au UlayaAsia kuna pia mifano ya [[semafori]], viooau heliografi (kioo vyacha kuakisisha nuru ya jua, kilichowekwa juu ya mnara au mlima). Inawezakana kutaja hapa pia nyaraka zilizosafirishwa kwa njia ya wakimbiaji au kwa watume waliopanda farasi.
 
Tangu karne ya 19 mitambo inayotumia umeme imechukua nafasi hii kama vile [[simu]], [[televisheni]], [[redio]] au [[intaneti]].