Simu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nyongeza kidogo
nyongeza kidogo
Mstari 1:
[[Picha:Alt Telefon.jpg|right|thumbnail|Simu]]
'''Simu''' ''(kutoka [[kar.]] <big>سیم</big> sim inayomaanisha "waya")'' ni chombo cha [[umeme]]. Mamtumizi ya simu, ni kwa ajili ya watu wawili waliokatika sehemu mbili tofauti na wanaweza kuongea. Bimaana ni chombo cha mawasiliano[[mawasilianoanga]]. Awali simu ilihitajika iuanganishwe na nyaya. Lakini leo hii simu inaweza kutumwa kwa kutumia [[redio]]. Hii nayo inaitwa [[nyayatupu]], [[siwaya]] au [[simu bila waya]].
 
Watu wengi wanaamini kuwa sumu iligunduliwa mnamo 1876 na [[Alexander Graham Bell]]. Alikuwa mtu mwenye umri wa miaka 29 aliyeishi nchini Marekani akiwa kama [[Uskoti|Muuskoti]]. Lakini [[Antonio Meucci]] alianzisha na kuanza kutoa matumizi ya simu toka kunako mwaka wa 1871 huko Marekani.