Ionia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Badiliko: sr:Јонија
nyongeza Yunani
Mstari 3:
[[Picha:Cincinnati-life-insurance-building-detail.jpg|thumb|Mtindo wa Kiionia kwenye jengo la bima huko Cicinnati (Marekani) mnamo mwaka 1900 BK]]
 
'''Ionia''' ilikuwa eneo la kihistoria katika magharibi ya [[Asia Ndogo]] zamani za [[Ugiriki ya Kale]]. Leo hii eneo lake liko ndani ya [[Uturuki]].
 
Jina la Ionia lilitokana na Waionia waliokuwa kabila la Wagiriki waliohamia Asia Ndogo kutoka Ugiriki mwenyewe mnamo mwaka 1,000 KK na kujenga miji yao huko kama vile [[Efeso]], Mileti na Smirna ([[Izmir]] ya leo). Baadaye Ionia ilikuwa eneo walipoishi wanafalsafa muhimu kama [[Thales wa Mileti]], [[Anaximander]] oder [[Heraklito]].
 
Ionia ilikuwa pia na wasanii bora hasa mtindo wa nguzo wa Kiionia umepata maarufu ukarudiwa pia katika majengo ya kisasa.
 
Neno "Ionia" ni asili kwa jina la "Yunan" (<big>یونان</big>) katika [[Kiarabu]] au "Yunani" katika [[Kiswahili]] cha zamani kwa ajili ya nchi ya [[Ugiriki]] au "[[Kiyunani]]" kwa ajili ya lugha ya [[Kigiriki]].
 
{{mbegu-jio}}