Kiyunani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nyongeza kidogo
No edit summary
Mstari 1:
'''Kiyunani''' - jina hilo ni la Kiswahili cha zamani kwa "[[Kigiriki]]", ambayo ni lugha ya nchi ya [[Ugiriki]] ("Uyunani") au tabia za [[Wagiriki]] ("Wayunani").
 
Neno la Kiswahili cha zamani limetokana na lugha ya Kiarabu <big>يونان</big> ''yunan'' na hapa ilitaja kiasili Wagiriki wa eneo la [[Ionia]] au wa kabila la Ioni walioishi kwenye pwani la mashariki la [[Bahari ya AegeiAegeis]].
 
Leo hii si kawaida sana lakini inapatikana hasa katika matoleo mbalimbali ya [[Biblia]]. Miaka ya nyuma neno la "Kigiriki" likasambaa zaidi, kutokana na athira ya Kiingereza kinachotumia maneno "Greece, Greek" kutoka [[Kilatini]] "Graeci" ambayo ni kawaida katika lugha nyingi za Kiulaya. Wanaotajwa wenyewe hujiita "Helleni", lugha yao "Helleniki".