Vita : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 21:
Wanadamu wametumia akili nyingi kuboresha vifaa vya vita yaani [[silaha]] na mbinu za vita. Maendeleo ya silaha yamesababisha kupungua kwa idadi ya askari wanaopigana moja kwa moja lakini uharibifu wa silaha umeongezeka.
 
Silaha za kale zilitegemea nguvu ya mkono wa mtu zikifikia umbali mdogo. Silaha zimebadilika kulenga mahali ambapo ni mbali na mbali zaidi. Silaha kali za kisasa zina uwezo wa kuharibu nchi yote; jumla ya [[silaha za nyuklia]] inatosha kuua maisha yote duniani.
 
Silaha kali za kisasa zina uwezo wa kuharibu nchi yote; jumla ya [[silaha za nyuklia]] inatosha kuua maisha yote duniani.
 
Silaha Nyingine: