Mahakama Kuu ya Kimataifa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
'''Mahakama Kuu ya Kimataifa''' ('''International Court of Justice''' kifupi '''ICJ''') ni taasisi kuu ya kisheria ya [[Umoja wa Mataifa]] (UM). Madaraka yake yamepangwa katika katiba ya UM na makao makuu yapo [[Den Haag]]. Iliundwa mwaka 1945 ikachukua nafasi ya mahakama ya kimataifa ya awali iliyofanya kazi chini ya mamlaka ya [[Shirikisho la Mataifa]].
 
Inaamua juu ya matatizimatatizo kati ya nchi. Ni tofauti na [[Mahakama ya Kimataifa ya Jinai]] inayoamua juu ya watu kama watendaji wa jinai maalumu.
 
== Madaraka ==