Vumatiti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Links
Sahihisho
Mstari 17:
| spishi = Angalia katiba
}}
'''Vumatiti''' ni [[ndege]] wakubwa wa [[jenasi]] kadhaa (angalia sanduku ya uainishaji) za [[familia]] [[Ardeidae]] wenye domo refu na nyembamba lakini shingo fupi kuliko spishi nyingine za familia hii. Hupinda shingo yao wakiruka angani. Ndege hawa wana rangi nyeupe, nyeusi na kahawia. Vumatiti hula [[samaki]], kratesha[[amfibia]] na [[mdudu|wadudu]] wa maji. Hizi ni spishi zinazojificha ndani ya uoto. Hujenga matago yao kwa matawi juu ya( miti au) matete. Hata matago yamefichika kwa kawaida.
 
==Spishi za Afrika==