Mahakama ya Kimataifa ya Jinai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Omar al-Bashir, 12th AU Summit, 090131-N-0506A-342.jpg|thumb|right|Rais wa Sudan Omar al-Bashir ambaye anatakiwa kufikishwa mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai kwa ukiukaji wa haki za kibinadamu katika eneo la Darfur]]
 
'''Mahakama ya Kimataifa ya Jinai''' ([[Kifaransa]]: ''Cour Pénale Internationale''; [[Kiing.]] '''International Criminal Court''' ambayo kawaida hujulikana kama '''ICC''' au '''ICCt''' ni mahakama ya kudumu ya kuwashtaki watu kwa [[mauaji ya kimbari]], hatia dhidi ya ubinadamu, hatia za kivita na hatia ya ushambulizi (ingawa kwa sasa haiwezi kuwashtaki watu kwa hatia ya ushambulizi). Makao makuu yako [[Den Haag]] ([[Uholanzi]]).
 
Ni tofauti na [[Mahakama Kuu ya Kimataifa]] inayoamua ugomvi kati ya nchi kama pande zote zinakubali kupeleka kesi huko.