Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[File:UN_security_council_2005.jpg|right|300px]]
[[Picha:Vladimir Putin at the Millennium Summit 6-8 September 2000-23.jpg|thumb|300px|Viongozi wa nchi tano ambazo ni wanachama wa kudumu katika mkutano wa mwaka 2000]]
'''Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa''' ni mkono muhimu na mwenye mamlaka wa [[Umoja wa Mataifa]]. Baraza la Usalama linajadili maswali ya usalama na amani kati ya mataifa na kuwa na madaraka ya kutoa maazimio.
Baraza la usalama lilikuwa na mkutano wake wa kwanza mnamo tarehe 17 mwezi Januari mwaka wa 1946 katika jumba la Church House mjini [[London]]. Tangu mkutano wake wa kwanza, baraza hilo ambalo halifungi mikutano yake, limesafiri kwa upana, likifanya mikutano katika miji mingi, kama vile [[Paris]] and [[Addis Ababa]], na piakwa kawaida katika makao yake makuu katika jumba la Umoja wa Mataifa mjini [[New York]].
 
== Wanachama ==
'''Baraza la Usalama la umoja wa Mataifa''' ni mojawapo ya viungo muhimu vya [[Umoja wa Mataifa]] na lina jukumu la kudumisha amani na usalama ulimwenguni. Nguvu zake, zilizofafanuliwa katika Mkataba wa Umoja wa Mataifa, ni kama vile kuanzisha vikwazo vya kiuchumi, kuanzisha oparesheni ya kudumisha amani na kuruhusu hatua za kijeshi. Nguvu zake ni wazi kupitia Maazimio ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Kuna wanachama 15 wa Baraza la Usalama. Kati ya hao watano ni wanachama 5 wa kuduma na wana haki ya kura maalum ya kupitisha miswada: ([[Uchina]], [[Ufaransa]], [[Urusi]], [[Uingereza]], [[Marekani]])kudumu na wanachama kumi10 wa kuchaguliwa ambao si wa kudumu wenye vipindi vya miaka miwili. Mpangilio msingi umeelezewa katika Sura ya V ya Mkataba wa umoja wa Mataifa. WanachamaWajumbe wa Baraza la Usalama lazima wawe daima katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York ili Baraza la Usalama liweze kukutana wakati wowote. Jambo hili la Mktaba wa Umoja wa Mataifa lilifanywa kimakusudi kwa sababu [[Shirikisho la Mataifa]] lilishindwa mara nyingi kutatua shida za kidharura.
 
Wanachama 5 wa kudumu ni:
Baraza la usalama lilikuwa na mkutano wake wa kwanza mnamo tarehe 17 mwezi Januari mwaka wa 1946 katika jumba la Church House mjini [[London]]. Tangu mkutano wake wa kwanza, baraza hilo ambalo halifungi mikutano yake, limesafiri kwa upana, likifanya mikutano katika miji mingi, kama vile [[Paris]] and Addis Ababa, na pia katika makao yake makuu katika jumba la Umoja wa Mataifa mjini New York.
* [[China]]
* [[Marekani]]
* [[Ufalme wa Maungano]] (Uingereza)
* [[Ufaransa]]
* [[Urusi]]
Nchi hizi 5 zina haki ya [[veto]] yaani kila moja inaweza kuzuia azimio la baraza.
 
Nafasi 10 zinashikwa na wanachama wa muda kwa vipindi vya miaka 2 wanaoteuliwa na [[Mkutano Mkuu wa UM]] kulingana na [[kanda za dunia|kanda za UM]]. Mwenyekiti wa baraza anabadilika kila mwezi kati ya wanachama.
Kuna wanachama 15 wa Baraza la Usalama. Kati ya hao watano ni wanachama wa kuduma na wana haki ya kura maalum ya kupitisha miswada: ([[Uchina]], [[Ufaransa]], [[Urusi]], [[Uingereza]], [[Marekani]]) na wanachama kumi wa kuchaguliwa ambao si wa kudumu wenye vipindi vya miaka miwili. Mpangilio msingi umeelezewa katika Sura ya V ya Mkataba wa umoja wa Mataifa. Wanachama wa Baraza la Usalama lazima wawe daima katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York ili Baraza la Usalama liweze kukutana wakati wowote. Jambo hili la Mktaba wa Umoja wa Mataifa lilifanywa kimakusudi kwa sababu [[Shirikisho la Mataifa]] lilishindwa mara nyingi kutatua shida za kidharura.
 
Mwaka 2011 wanachama wa muda ni:
{{mbegu-siasa}}
* kwa kipindi cha 2010–2011: [[Gabon]], [[Brazil]], [[Bosnia-Herzegovina]], [[Nigeria]], [[Lebanoni]]
* kwa kipindi cha 2011–2012: [[Ujerumani]], [[Ureno]], [[India]], [[Kolumbia]], [[Afrika Kusini]]
 
== Mamlaka ==
[[Jamii:Sheria]]
Nguvu za baraza zinafafanuliwa katika Mkataba wa Umoja wa Mataifa, ni kama vile kuanzisha vikwazo vya kiuchumi, kuanzisha operesheni ya kudumisha amani na kuruhusu hatua za kijeshi.
[[Jamii:Mashirika]]
 
[[Jamii:Umoja wa Mataifa]]
Kama nchi inatenda kwa njia isiyokubalika baraza la usalama lina mamlaka ya kutoa tamko dhidi ya nchi husika.
*Mifano:
** Mwaka 2005 baraza iliamua ya kwamba Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ifanye utafiti kama mauaji ya kimbari au hatia dhidi ya ubinadamu zimetokea katika [[Darfur]]; kutokana na azimio hili rais wa Sudan ameshtakiwa.
** Baraza iliona ya kwamba [[Uajemi]] haitekelezi wajibu wake kuhusu miradi ya nyuklia kwa hiyo nchi zote na watu wote wanakataliwa kuiuzia Uajemi au kupeleka hupeleka huko bidhaa zinazofaa kwa shughuli za nyuklia.
**Mwaka 2011 baraza iliamua kuzuia usafiri kwa ndege juu ya [[Libya]] na kuwapa wanachama haki ya kuchukua hatua za kijeshi kwa kulinda watu raia dhidi ya mashambilizi kutoka serikali ya nchi hii
 
Mara nyingi nchi wanachama wa kudumu wanatumia veto yao kwa kuzuia maazimio dhidi ya nchi fulani kama wenyewe wanaona sababu ya kulinda nchi ile. Hivyo China imetumia veto kuzuia maazimo dhidi ya nchi kama Sudan au Myanmar; Marekani inatumia veto yake mara kwa mara kwa maazimio dhidi ya Israel; nchi zote 5 zinazuia maazimio yanayokwenda kinyume na siasa yao wenyewe.
 
{{stub}}
 
[[JamiiCategory:Umoja wa Mataifa]]
 
[[als:Sicherheitsrat der Vereinten Nationen]]
[[ar:مجلس أمن الأمم المتحدة]]
[[frp:Consèly de sècuritât des Nacions unies]]
[[arz:مجلس الامن]]
[[zh-min-nan:An-chôan Lí-sū-hōe]]
[[be:Савет Бяспекі ААН]]
[[be-x-old:Рада Бясьпекі ААН]]
[[bg:Съвет за сигурност на ООН]]
[[bs:Vijeće Sigurnosti]]
[[bg:Съвет за сигурност на ООН]]
[[ca:Consell de Seguretat de l'ONU]]
[[cs:Rada bezpečnosti OSN]]
Line 25 ⟶ 49:
[[da:FN's sikkerhedsråd]]
[[de:Sicherheitsrat der Vereinten Nationen]]
[[et:ÜRO Julgeolekunõukogu]]
[[el:Συμβούλιο Ασφαλείας του Οργανισμού Ηνωμένων Εθνών]]
[[en:United Nations Security Council]]
[[eo:Konsilio de Sekureco de Unuiĝintaj Nacioj]]
[[es:Consejo de Seguridad de las Naciones Unidas]]
[[eo:Konsilio de Sekureco de Unuiĝintaj Nacioj]]
[[et:ÜRO Julgeolekunõukogu]]
[[eu:Nazio Batuen Segurtasun Kontseilua]]
[[fa:شورای امنیت]]
[[fi:Yhdistyneiden kansakuntien turvallisuusneuvosto]]
[[fr:Conseil de sécurité des Nations unies]]
[[frp:Consèly de sècuritât des Nacions unies]]
[[gl:Consello de Seguridade das Nacións Unidas]]
[[ko:국제 연합 안전보장이사회]]
[[he:מועצת הביטחון]]
[[hy:ՄԱԿ-ի Անվտանգության Խորհուրդ]]
[[hi:संयुक्त राष्ट्र सुरक्षा परिषद]]
[[hr:Vijeće sigurnosti Ujedinjenih naroda]]
[[hu:Egyesült Nemzetek Szervezete Biztonsági Tanácsa]]
[[hy:ՄԱԿ-ի Անվտանգության Խորհուրդ]]
[[id:Dewan Keamanan Perserikatan Bangsa-Bangsa]]
[[is:Öryggisráð Sameinuðu þjóðanna]]
[[it:Consiglio di sicurezza delle Nazioni Unite]]
[[he:מועצת הביטחון]]
[[ja:国際連合安全保障理事会]]
[[jv:Dhéwan Kaamanan PBB]]
[[ka:გაეროს უშიშროების საბჭო]]
[[sw:Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa]]
[[ko:국제 연합 안전보장이사회]]
[[la:Concilium Salutis]]
[[lv:Apvienoto Nāciju Drošības padome]]
[[lb:Sécherheetsrot vun de Vereenten Natiounen]]
[[lt:Jungtinių Tautų Saugumo Taryba]]
[[hu:Egyesült Nemzetek Szervezete Biztonsági Tanácsa]]
[[lv:Apvienoto Nāciju Drošības padome]]
[[mk:Совет за безбедност на ОН]]
[[mr:संयुक्त राष्ट्रे सुरक्षा परिषद]]
[[arz:مجلس الامن]]
[[ms:Majlis Keselamatan Pertubuhan Bangsa-Bangsa Bersatu]]
[[my:ကုလသမဂ္ဂ လုံခြုံရေးကောင်စီ]]
[[ne:संयुक्त राष्ट्र सुरक्षा परिषद]]
[[nl:Veiligheidsraad van de Verenigde Naties]]
[[ne:संयुक्त राष्ट्र सुरक्षा परिषद]]
[[ja:国際連合安全保障理事会]]
[[no:FNs sikkerhetsråd]]
[[oc:Conselh de Securitat de las Nacions Unidas]]
Line 65 ⟶ 89:
[[ru:Совет Безопасности ООН]]
[[sco:Unitit Nations Security Cooncil]]
[[sq:Këshilli i Sigurimit i Organizatës së Kombeve të Bashkuara]]
[[sh:Savet bezbednosti Ujedinjenih nacija]]
[[simple:United Nations Security Council]]
[[sk:Bezpečnostná rada Organizácie Spojených národov]]
[[sl:Varnostni svet OZN]]
[[sq:Këshilli i Sigurimit i Organizatës së Kombeve të Bashkuara]]
[[sr:Савет безбедности Уједињених нација]]
[[sh:Savet bezbednosti Ujedinjenih nacija]]
[[fi:Yhdistyneiden kansakuntien turvallisuusneuvosto]]
[[sv:FN:s säkerhetsråd]]
[[th:คณะมนตรีความมั่นคงแห่งสหประชาชาติ]]
[[tl:Kapulungang Panseguridad ng Mga Bansang Nagkakaisa]]
[[tr:Birleşmiş Milletler Güvenlik Konseyi]]
[[tt:БМО Иминлек Шурасы]]
[[th:คณะมนตรีความมั่นคงแห่งสหประชาชาติ]]
[[tr:Birleşmiş Milletler Güvenlik Konseyi]]
[[uk:Рада Безпеки ООН]]
[[ur:سلامتی کونسل]]
Line 81 ⟶ 105:
[[wuu:联合国安理会]]
[[yo:United Nations Security Council]]
[[zh:联合国安全理事会]]
[[zh-min-nan:An-chôan Lí-sū-hōe]]
[[zh-yue:聯合國安全理事會]]
[[zh:联合国安全理事会]]