Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
makala zimeunganishwa
Mstari 1:
[[File:UN_security_council_2005.jpg|right|300px]]
'''Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa''' ni mkono muhimu na mwenye mamlakanguvu wa [[Umoja wa Mataifa]]. Baraza la Usalama linajadili maswali ya usalama na amani kati ya mataifa na kuwa na madaraka ya kutoa maazimio.
Baraza la usalama lilikuwa na mkutano wake wa kwanza mnamo tarehe 17 mwezi Januari mwaka wa 1946 katika jumba la Church House mjini [[London]]. Tangu mkutano wake wa kwanza, baraza hilo ambalo halifungi mikutano yake, limesafiri kwa upana, likifanya mikutano katika miji mingi, kama vile [[Paris]] and [[Addis Ababa]], na kwa kawaida katika makao yake makuu katika jumba la Umoja wa Mataifa mjini [[New York]].
Mstari 30:
**Mwaka 2011 baraza iliamua kuzuia usafiri kwa ndege juu ya [[Libya]] na kuwapa wanachama haki ya kuchukua hatua za kijeshi kwa kulinda watu raia dhidi ya mashambilizi kutoka serikali ya nchi hii
 
Mara nyingi nchi wanachama wa kudumu wanatumia veto yao kwa kuzuia maazimio dhidi ya nchi fulani kama wenyewe wanaona sababu ya kulinda nchi ile. Hivyo China imetumia veto kuzuia maazimo dhidi ya nchi kama Sudan au [[Myanmar]]; Marekani inatumia veto yake mara kwa mara kwa maazimio dhidi ya Israel; nchi zote 5 zinazuia maazimio yanayokwenda kinyume na siasa yao wenyewe.
 
{{stub}}