Finisia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Phoenicia map-en.svg|thumb|300px|Ramani ya Finisia upande wa mashariki wa Mediteranea]]
[[File:PhoenicianTrade.png|thumb|300px|Njia za biashara ya miji ya Finisia]]
'''Finisia''' (kutoka [[Kigiriki]] Φοινίκη: foiníkēphoiníkē, [[Kimisri]] '''tau(i)-fenchu, idebu-fenchu''') ilikuwa jina kwa kanda la pwani la mashariki la [[Bahari Mediteranea]] katika nchi za leo [[Israel]], [[Lebanon]] na [[Syria]]. Eneo la Finisia lilianza takriban kwa mji wa [[Dor (mji)|Dor]] upande wa kaskazini kupitia [[Tyros]], [[Sidon]], [[Beirut]], [[Byblos]] na [[Arwad]] hadi [[Tartus]] upande wa kaskazini. Watu wenyewe hawakujiita "[[Wafinisia]]" walijiita kufuatana na miji yao walipotoka.
Wafinisia waliongea kwa [[Kifinisia]] ambacho ni [[lugha ya Kisemiti]] wakaishi katika [[dola-miji]] wakifanya biashara ya baharini kote katika Mediteranea na hata nje yake. Walianzisha miji ya [[koloni]] katika eneo la Mediteranea na koloni mashuhuri ilikuwa [[Karthago]] iliyokuwepo karibu na [[Tunis]] katika [[Tunisia]] ya leo. Waroma wa Kale waliwaaita "Puni" wakatwaa eneo lao lote mwaka 63 na tangu wakati ule Finisia likuwa sehemu ya jimbo la Syria ndani ya [[Dola la Roma]].