Tofauti kati ya marekesbisho "The Lion King"

57 bytes removed ,  miaka 10 iliyopita
d (r2.7.1) (roboti Nyongeza: ext, ta Badiliko: eu, uk)
 
== Hadithi ==
[[Picha:Simba.jpg|thumb|left|250px|Simba wa Pride Rock]]
Simba ni mtoto wa kiume wa Mufasa, na Mufasa ndiyo simba mfalme anayemiliki sasa ufalme uitwao Pride Rock. Lakini, ndugu mdogo wa Mufasa (Scar) anamwonea choyo Simba na Mufasa wanataka kumweka Mufasa kuwa kama mfalme wa ufalme hiyo. Scar hawezi kuwa mfalme isipokuwa akifa Mufasa na Simba. Scar akawa rafiki na fisi watatu na kuwaahidi kwamba atawapatia chakula endapo watamsaidia kumwua ndugu yake Mufasa na Simba na kuchukua mamlaka ya ufalme huo.
 
Anonymous user