Finisia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Phoenicia map-en.svg|thumb|300px|Ramani ya Finisia upande wa mashariki wa Mediteranea]]
[[File:PhoenicianTrade.png|thumb|300px|Njia za biashara ya miji ya Finisia]]
'''Finisia''' (au '''Foinike''' kutoka [[Kigiriki]] Φοινίκη: phoiníkē,; kwa [[Kimisri]] '''tau(i)-fenchu, idebu-fenchu''') ilikuwa jina lililotumika kwa kanda laya pwani laya mashariki laya [[Bahari Mediteranea]] katika nchi za leo [[Israel]], [[Lebanon]] na [[Syria]]. Eneo la Finisia lilianza takriban kwa mji wa [[Dor (mji)|Dor]] upande wa kaskazinikusini kupitia [[Tyros]], [[Sidon]], [[Beirut]], [[Byblos]] na [[Arwad]] hadi [[Tartus]] upande wa kaskazini. Watu wenyewe hawakujiita "[[Wafinisia]]", bali walijiita kufuatana na miji yao walipotoka.
Wafinisia waliongea kwa [[Kifinisia]] ambacho ni [[lugha ya Kisemiti]] wakaishina kuishi katika [[dola-miji]] wakifanya [[biashara]] ya baharini kote katika Mediteranea na hata nje yake. Walianzisha miji ya [[koloni]] katika eneo la Mediteranea na koloni mashuhuri ilikuwa [[Karthago]] iliyokuwepo karibu na [[Tunis]] katika [[Tunisia]] ya leo. Waroma wa Kale waliwaaita "Puni" wakatwaa eneo lao lote mwaka 63 na tangu wakati ule Finisia likuwa sehemu ya jimbo la Syria ndani ya [[Dola la Roma]].
 
Walianzisha miji ya [[koloni]] katika eneo la Mediteranea na koloni mashuhuri lilikuwa [[Karthago]], mji uliokuwepo karibu na [[Tunis]] katika [[Tunisia]] ya leo.
Wamisri wa Kale waliwaita watu wa Finisia „fenchu“ iliyomaanisha "seremala". Wamisri walinunua ubao wa ujenzi na kwa vifaa kutoka misitu ya Lebanoni na biashara hii ilikuwa mkononi mwa miji ya Finisia.
 
Waroma wa Kale waliwaaita "Puni" wakatwaa eneo lao lote mwaka [[63 KK]] na tangu wakati ule Finisia likawa sehemu ya jimbo la Syria ndani ya [[Dola la Roma]].
 
[[Wamisri]] wa Kale waliwaita watu wa Finisia „fenchu“"fenchu", iliyomaanisha "seremala". Wamisri walinunua [[ubao]] wakwa ujenzi na kwa vifaa kutoka misitu ya Lebanoni na [[biashara]] hii ilikuwa mkononimikononi mwa miji ya Finisia.
 
== Historia ==
Mtaalamu Mgiriki [[Herodot]] aliandika ya kwamba miji ya kwanza yalipatikana Finisia tangu mwaka 2750 [[2750 KK]].

Kumbukumbu za Kimisri zinaonyesha ya kwamba watawala wa "fenchu" yaani Finisia walijulikana tayari manmomnamo mwaka [[2000 KK]].
 
[[picha:Transport of cedar Dur Sharrukin.jpg|thumb|Usafiri wa miti ya [[mwerezi]] kutoka [[Lebanoni]] kwenda [[Mesopotamia]]; picha ya kuchongwa katika jumba la mfalme [[Sargon II]] wa [[Ashuru]] (mwisho wa [[karne ya 8 KK]]).]]
 
Mnamo [[karne ya 15 KK]] [[dola-miji]] za [[Sidon]], [[Tyros (mji)|Tyros]] na [[Byblos]] zilianzishwa zilizoendelea kuunda miji koloni kote kwenye pwani za Mediteranea.
 
Mnamo [[875 KK]] miji ya Finisia ililazimishwa kulipa [[kodi]] ya ulinzi kwa milki ya [[Ashur]].
 
Mwaka [[573 KK]] mji wa Tyros ulitekwa na [[jeshi]] la mfalme [[Nebukadreza_II]] wa Babeli baada ya kushambuliwa kwa miaka 13.
[[picha:Transport of cedar Dur Sharrukin.jpg|thumb|Usafiri wa miti ya mwerezi kutoka [[Lebanoni]] kwenda [[Mesopotamia]]; picha ya kuchongwa katika jumba la mfalme [[Sargon II]] wa Ashuru (mwisho wa karne ya 8 KK)]]
 
Mnamo 875 KK miji ya Finisia ililazimishwa kulipa kodi ya ulinzi kwa milki yaMwaka [[Ashur]]. 573539 KK mji wa Tyros ulitekwa na jeshi la mfalme [[Nebukadreza_II]] wa Babeli baada ya kushambuliwa kwa miaka 13. 539 KK mfalme [[Koreshi II]] wa [[Uajemi]] aliteka miji yote ya Finisia bila mapigano ikawa sehemu ya milki yake. Chini ya milki ya Uajemi miji ya Finisia ilistawi kibiashara; [[manowari]] zao zilikuwa mkono wa [[jeshi la bahari]] la Waajemi.
Mnamo karne ya 15 KK [[dola-miji]] za [[Sidon]], [[Tyros (mji)|Tyros]] na [[Byblos]] zilianzishwa zilizoendelea kuunda miji koloni kote kwenye pwani za Mediteranea.
 
[[Aleksander Mashuhuri]] alipovamia milki ya Uajemi mji wa Tyrus ilikataaulikataa kusalimiakusalimu amri ikashambuliwaukashambuliwa na Wagiriki na kuharibiwa kabisa. Katika milki za wafuasiwaandamizi wakewa Aleksander umuhimu wa Finisia na biashara yake ilipungua.
Mnamo 875 KK miji ya Finisia ililazimishwa kulipa kodi ya ulinzi kwa milki ya [[Ashur]]. 573 KK mji wa Tyros ulitekwa na jeshi la mfalme [[Nebukadreza_II]] wa Babeli baada ya kushambuliwa kwa miaka 13. 539 KK [[Koreshi II]] wa [[Uajemi]] aliteka miji yote ya Finisia bila mapigano ikawa sehemu ya milki yake. Chini ya milki ya Uajemi miji ya Finisia ilistawi kibiashara; [[manowari]] zao zilikuwa mkono wa jeshi la bahari la Waajemi.
 
Lakini kolonimakoloni zaya miji ya Finisia, hasa milki ya [[Karthago]], ziliendelea yaliendelea kuwa na nguvu katika Mediteranea ya Magharibi hadi ushindi wa [[Dola la Roma]] juu yao.
[[Aleksander Mashuhuri]] alipovamia milki ya Uajemi mji wa Tyrus ilikataa kusalimia amri ikashambuliwa na Wagiriki na kuharibiwa kabisa. Katika milki za wafuasi wake Aleksander umuhimu wa Finisia na biashara yake ilipungua.
 
[[Utamaduni]] wa Finisia uliathiriwa na milki za [[Mesopotamia]], [[Misri ya Kale]] na eneo la Mediteranea ya Mashariki. Kutokana na biashara yao watu wa Finisia waliwasiliana na majirani wote wakapokea athira kutoka kila upande na kuzibeba penginepo.
Lakini koloni za miji ya Finisia hasa milki ya [[Karthago]] ziliendelea kuwa na nguvu katika Mediteranea ya Magharibi hadi ushindi wa [[Dola la Roma]].
 
Utamaduni wa Finisia uliathiriwa na milki za [[MesopotamiaMwandiko]], Misri ya Kale na eneo la Mediteranea ya Mashariki. Kutokana na biashara yake watu wa Finisia waliwasiliana na majirani wote wakapokea athira kutoka kila upande na kuzibeba penginepo. Mwandiko wa Kifinisia ulisambaa na kuwa msingi kwawa [[alfabeti]] za [[Ulaya]] ([[alfabeti ya Kigiriki|Kigiriki]], [[alfabeti ya Kilatini|Kilatini]], [[alfabeti ya Kikirili|Kikirili]]) na pia miandiko ya [[abjadi]] ya [[herufi za Kiarabu|Kiarabu]] na [[Kiebrania]].
 
[[Jamii:Historia ya Kale]]
[[Jamii:Mediteranea]]
[[Jamii:Lebanon]]
 
[[ar:فينيقيا]]