Tofauti kati ya marekesbisho "Maana ya maisha"

d
The file Image:Torii,Vermilion.svg has been replaced by Image:Shinto_torii_vermillion.svg by administrator commons:User:Gnangarra: ''File renamed: 6. Harmonize file names of a set of images''. ''[[m:Us
d (r2.5.2) (roboti Nyongeza: vi:Ý nghĩa cuộc sống)
d (The file Image:Torii,Vermilion.svg has been replaced by Image:Shinto_torii_vermillion.svg by administrator commons:User:Gnangarra: ''File renamed: 6. Harmonize file names of a set of images''. ''[[m:Us)
====Dini za Mashariki ya mbali====
====Ushinto====
[[File:Torii,VermilionShinto_torii_vermillion.svg|thumb|right|100px|Shinto torii, mlango wa kitamaduni wa Kijapani]]
 
Ushinto ni dini iliyoanzia [[Ujapani]]. Neno Shinto linamaananisha "njia ya kami", lakini kwa ufasaha zaidi, linaweza kumaanisha "sehemu yenye njia nyingi ambapo kami anachagua njia yake". Njia yenye sehemu nyingi ya 'kimungu' inaashiria kwamba ulimwengu wote ni roho ya kimungu. Msingi wa nia huru kuichagua njia ya mmoja, inamaanisha kwamba maisha ni mchakato wa ubunifu.