Solomoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.5) (roboti Nyongeza: lbe:Сулайман идавс
tahajia
Mstari 1:
[[Picha:Konrad Witz 003.jpg|300px|right|thumb|Solomoni na [[malkia wa Saba]]<br />(mchoro wa [[Konrad Witz]], alias Conradus Sapientis, 1434-35).]]
 
'''Mfalme Solomoni''' kadiri ya [[Biblia]] alikuwa mfalme wa tatu na wa mwisho wa [[Israeli]] nzima, akitawala kuanzia [[970 K.K.KK]] hadi [[930 K.K.KK]] hivi.
 
Alikuwa mwana wa [[Daudi (Biblia)|Daudi]] na Bath-Sheba ([[Betsheba]]), aliyewahi kuwa [[mke]] wa [[Uria Mhiti]]. Daudi alimchagua kuwa mrithi wake kwa sababu alikuwa uthibitisho hai wa [[msamaha]] aliopewa na [[Mungu]] kwa [[kuzini]] na hatimaye kumuua Uria.