Uongo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
<center><small>'''Kwa neno la kutaja kipindi cha miaka 10 tazama: [[mwongo]]'''</small></center>
[[File:PinocchioChiostri22.jpg|thumb|200px|Pua ya [[Pinocchio]] inakua na kuwa ndefu kila akisema uwongo.]]
'''Uongo''' ni tamko lisilo kweli lanalotolewa kwa kusudimakusudi. Mtu anayesema uwongo anajua au anahisi ya kwamba maneno yake si ya kweli lakini anataka ya kwamba msikilizaji wa maneno yake (au mpokeaji wa ujumbe wake) anayaaminiayaamini kuwa kweli.
 
Mara nyingi uwongo hutumiwa kwa kusudi la kuficha [[kosa]], [[aibu]] au tendo [[haramu]]. Kusudi nyinginelingine ni kujipatia [[faida]] au kuzuia [[hasara]].
 
Uwongo hutazamiwahutazamwa kuwa tofauti na maneno yasiyo kweli lakini msemaji hajui kwamba si kweli au alikosea mwenyewe.
 
==Aina za uwongo==
[[Augustino wa Hippo]] alikuwa kati ya wataalamu wa kwanza waliofanyia uwongo [[utafiti]]. Katika kitabu chake "Kuhusu uwongo" ("De Mendacio") aliorodhesha aina nane za uwongo kama vile
* Uwongo kuhusu mafundisho ya kidini[[dini]]
* Uwongo unaoleta hasara kwa mtu bila kumsaidia yeyote
* Uwongo unaosababisha hasara kwa watu kadhaa na kuwasaidia wengine
* Uwongo unaosimuliwa kwa [[furaha]] ya uwongo au kama [[mzaha]]
* Uwongo unaotolewa kwa kumfurahisha mtu wakati wa [[maongezi]]
* Uwongo usiomwudhi mtu lakini unaokoa maisha[[uhai]] yawa mtu
* Uwongo usiomwudhi mtu na unaokoa [[heshima]] ya mtu
* Uwongo usiomwudhi mtu na kumsaidia mtu
 
Hapa alitofautisha kati ya uwongo mzito (unaoleta hasara kwa mtu au maisha[[uzima yawa milele]]) na uwongo mwepesi (unaoleta faida kwa mtu bila kumwudhi yeyote). Lakini aliona kila aina ya uwongo kamakuwa [[dhambi]] kwa sababu unaharibuunafanya imaiwatu katiwasiweze ya watukuaminiana.
 
 
[[Category:Maadili]]