Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Shirika la Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki umehamishwa hapa Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki: tuwe na namna moja kwa makampuni ya kikoloni - nimesahau |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''
Ilianzishwa kwa jina la "Shirika kwa koloni za Kijerumani" mwaka 1884. Wawakilishi wake walifaulu mwaka uleule kujipatia mikataba na machifu na masultani wa Afrika ya Mashariki upande wa mashariki wa maeneo chini ya utawala wa Zanzibar kwenye pwani.
Mstari 5:
Peters alikataliwa awali na serikali ya [[chansella]] [[Bismarck]] asiyetaka koloni lakini baada ya kumtisha ya kwamba angeuza maeneo yale kwa mfalme [[Leopold II wa Ubelgiji]] alipewa barua ya ulinzi kutoka serikali ya Berlin.
[[1888]]
Utawala wa
|