Muddyb

Joined 18 Agosti 2007
samahani!
No edit summary
(samahani!)
*[http://muddybtz.blog.com/ Blogu B - English only]
 
== Viungo vya mwili==
Muddy, salaam. Nina ombi. Niliwahi kuanzisha makala juu ya viungo vya mwili na hao vijana wa mashindano ya makala za afya waliendelea. Makala hizi zote zinahitaji kuangaliwa kwa sababu Wakenya (nadhani) waliunda sentensi za ajabu kidogo na pia mara nyingi walikosa viungo. Nikiingia hapa nakiri udhaifu: kwa Wasafwa na Wanyakyusa nilipojifunza Kiswahili na baadaye Nairobi sijasikia kitu kingine ila "mkono" na "mguu". Kumbe. Sasa nimetengeneza picha ya [[mkono]] nikilenga kutaja sehemu zake kuanzia bega kupitia kisugidi hadi kiganja. Lakini ninahisi ya kwamba sina uhakika kwa sababu sina uzoefu kutaja sehemu zile (yooote mkono!) na kamusi zangu si wazi sana; mara nyingi maelezo si kamili, yanaingiliana maana au kuna maneno kadhaa na mimi sijui lipi ni afadhali. Je unajua wewe majina haya au unaweza kuchungulia kidogo? Tuanze kumaliza mkono baadaye inafuata mguu na mengine! Namwuliza pia Riccado ni vema kusikia kutoka Morogoro pia. Asante ndimi wako '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 08:40, 10 Aprili 2011 (UTC)