Mary Leakey : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Mary Leakey.jpg|thumb|180px|Mary Leaky]]
{{delete}}
'''Mary Douglas Nicol Leakey''' (*[[6 Februari]] 1913 [[London]] - [[9 Disemba]] 1996 [[Nairobi]]) alikuwa mtaalamu wa akiolojia aliyekuwa maarufu kutokana na kukuta ushuhuda juu ya maendeleo ya watu wa kwanza.
 
Alikuta na kutambua fuvu fosili ya kwanza ya [[Sokwe (Hominidae)|sokwe mkubwa]] kwenye kisiwa cha [[Rusinga]] na baadaye pia aina ya sokwe iliyofanana zaidi na binadamu inayoitwa [[Zinjanthropus]] kwenye [[bonde la Olduvai]]. Alikuta pia nyayo za [[Laitoli]] zilizo kati ya ushuhuda wa kale kabisa wa watu waliotembea kwa kutumia miguu pekee.
 
Tangu 1960 alikuwa mkurugenzi wa uchimbaji kwa Olduvai. Baada ya kifo cha mumewe Louis aliendelea kuwa kati ya wataalamu wakuu kwenye uwanja wa paleoanthropolojia akamfundisha pia mwanawe Richard Leaky katika fani hii.
 
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.leakeyfoundation.org/foundation/f1_1.jsp www.leakeyfoundation.org] – Tovuti ya taasisi ya Leaky
* [http://www.leakey.com/index.html www.leakey.com] – Picha za familia Leaky
* [http://www.fembio.org/biographie.php/frau/biographie/mary-douglas-leakey/ Biografia ya Mary ]
* [http://www.utexas.edu/courses/wilson/ant304/biography/arybios97/dentebio.html Biografia ya Mary ]
 
{{DEFAULTSORT:Leakey, Mary}}
[[Jamii:Paleoanthropolojia]]
[[Jamii:Watu wa Uingereza]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1913]]
[[Jamii:Waliofariki 1996]]
 
 
[[ca:Mary Leakey]]
[[da:Mary Leakey]]
[[en:Mary Leakey]]
[[es:Mary Leakey]]
[[fi:Mary Leakey]]
[[fr:Mary Leakey]]
[[gl:Mary Leakey]]
[[it:Mary Leakey]]
[[lt:Mary Douglas Leakey]]
[[pl:Mary Leakey]]
[[ro:Mary Leakey]]
[[sv:Mary Leakey]]
[[zh:瑪麗·李奇]]