Charlie Chaplin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: uz:Charlie Chaplin
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Charlie Chaplin.jpg|thumb|right|300px|Charlie Chaplin.]]
 
'''Charlie Chaplin''' ([[16 Aprili]], [[1889]] – [[25 Desemba]], [[1977]]) alikuwa mwigizaji na mtayarishaji filamu maarufu wa [[Uingereza|Kiingereza]]. Alikuwa almaarufumaarufu sana katika kucheza filamu au vichekesho vya kimya-kimya (ambapo zilikukuwa hamna kuongea wala sauti). Aliigiza, aliongoza, alizipanga script na kuziongoza filamu zote zilizokuwa zinamhusu.
 
Charlie Chaplin alikuwa akifanya kazi hizo takriban kwa miaka 70, alianza akiwa na umri wa miaka mitano, na mpaka ilipofika miaka 80. Sehemu husika alizokuwa akicheza Charlie Chaplin maranyingi iliitwa "the Tramp". Tramp alikuwa mtu mwenye heshima zake, ambaye amevaa koti, suruali likubwa, viatu na kofia nyeusi huku akichekesha watu.