Henry III wa Uingereza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: simple:Henry III of England
No edit summary
Mstari 1:
[[picha:King_Henry_III_from_NPG.jpg|thumb|200px|Henry III (uchoraji mnamo mwaka 1620 iliyoongezwaulioongezewa baadaye jina la "Edwardus" kwa kosa)]]
 
'''Henry III''' ([[1 Oktoba]], [[1207]] – [[16 Novemba]], [[1272]]) alikuwa mfalme wa [[Uingereza]] mwaka [[1216]] alipokuwa na umri wa miaka 9. Alitawala kama mfalme wa Uingereza na mkuu wa [[Eire]] hadi kifo chake kwenye mwaka 1272. Alimwoa [[Eleanor wa Provence]]. Alianzisha majengo katika mtaa wa westminsterWestminster mjini [[London]] ulioendelea kuwa makao ya serikali ya Uingereza kwa karne nyingi.
 
Miaka mingi aligombana na makabaila wakubwa juu ya haki za mfalme. Alipaswa kuthebitishakuthibitisha sheria ya [[Magna Charta]] na kukubali makao ya [[bunge]] ya kwanza ya Uingereza mwaka 1264 iliyokuwa na haki ya kukubali au kukataa kodi.
{{mbegu-mtu}}
 
{{DEFAULTSORT:Henry III}}
 
{{BD|1207|1272|}}
[[CategoryJamii:Wafalme na malkia wa Uingereza]]
 
[[Category:Wafalme wa Uingereza]]
 
[[ar:هنري الثالث ملك إنجلترا]]