Majadiliano:Methali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
Waasalamu.Ningependa kupanua makala haya kwa kuchora Jedwali na kulipachika na methali za Kiswahili pamoja pengine na taafsiri zae za Kizungu na kisha kutoa maana/matumiza ya methali hiyo.Naomba ruksa au maoni yako.Ahsante.'''[[Mtumiaji:Limoke oscar|Limoke oscar]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Limoke oscar|majadiliano]])''' 08:23, 16 Aprili 2011 (UTC)
:Sina uhakika kama makala ya methali lazima iorodheshe methali nyingi. Hata makala ya Kiingereza inataja mifano michache tu. Kwa ajili ya kupata methali zenyewe, labda uwatafute waandishi wa Twitter, k.m. [http://twitter.com/#!/Swahili_Methali Swahili_Methali]. Wasalaam, --'''[[Mtumiaji:Baba Tabita|Baba Tabita]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita|majadiliano]])''' 10:19, 16 Aprili 2011 (UTC)
::Shikrani tele [[Mtumiaji:Baba Tabita|Baba Tabita]].Labda nilikuwa natafakari mtu angependa kutaka kutambua maana au matumizi ya methali za Kiswahili na angeweza kupata makala hayo katika Wikipedia ya Kiswahili.Sijui waonaje hilo wazo?'''[[Mtumiaji:Limoke oscar|Limoke oscar]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Limoke oscar|majadiliano]])''' 10:40, 16 Aprili 2011 (UTC)
Return to "Methali" page.