Ufalme : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Redirecting to Mfalme
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Couronne_Louis_XV.jpg|thumb|100px|right|Taji la mfalme Louis XV wa Ufaransa; taji ni alama za cheo cha mfalme katika nchi nyingi]]
#REDIRECT [[Mfalme]]
'''Ufalme''' ni mfumo wa utawala ambako [[mfalme]], [[malkia]] au mtu mwingine aliyerithi cheo chake ni mkuu wa [[dola]]. Vyeo vingine vya mkuu katika ufalme ni pamoja na [[kaisari]], [[shah]], [[tenno]], [[sultani]], [[amiri]] au [[mtemi]]. Kwa kawaida mfalme amerithi cheo chake kutoka kwa babake au mamake kwa hiyo alizaliwa kama mfalme mteule na ataendelea kuwa na cheo hiki hadi kifo chake. Lakini kama mfalme aliyetangulia hakuwa na mrithi inawezekana ya kwamba mfalme mpya amechaguliwa. Mfano wa dola lenye mfumo wa ufalme ambako mkuu anachaguliwa mara kwa mara ni Vatikani ambao Papa ni mkuu wa dola.
 
Neno ufalme hutumiwa pia kwa kutaja nchi inayotawaliwa na mfalme au malkia, kwa mfano [[Ufalme wa Maungano]], Ufalme wa [[Uswazi]] na kadhalika.
 
Kiwango cha madaraka cha mfalme huwa na tofauti kubwa. Leo hii karibu wafalme wengi wako chini ya katiba ya nchi na mara nyingi wana madaraka machache; nafasi yao ni ya heshima na desturi. Lakini kuna falme kadhaa ambako mfalme bado ana madaraka makubwa habanwi na katiba wala bunge wala serikali kama vile [[Omani]] au [[Saudia]].
 
==Tofauti ya ufalme na jamhuri==
Kinyume cha ufalme ni [[jamhuri]] inayoongozwa na mkuu, mara nyingi kwa cheo [[rais]] au katika nchi kadhaa na kamati ya watu wanaochaguliwa na kwa kawaida kwa kipindi fulani. Mara nyingi rais wa nchi huchaguliwa kwa kipindi cha miaka 4-6 na katika nchi nyingi kuna uwezekano ya kwamba anarudi tena kwa kipindi cha ziada. Kuna jamhuri ambako vongozi wanalenga kuhakikisha ya kwamba mtoto wao anaendelea na cheo cha mkuu wakiacha kutawala lakini hii kwa kawaida si utaratibu wa kisheria katika jamhuri; mfano wa kisasa ni [[Korea Kaskazini]] ambayo ni jamhuri inayotawaliwa na familia Kim katika kizazi cha pili ilhali mtoto wa kiongozi [[Kim Jong Il]] anateuliwa kumfuata baba.
 
==Historia==
==Sababu za kuanzishwa kwa ufalme==
Ufalme ni muundo wa kale sana lakini haikuwa mfumo wa kwanza wa serikali. Wataalamu huona ya kwamba chanzo chake ni azimio la kabila au kundi dogo la watu kumruhusu mtoto wa kiongozi mwenye nguvu na uwezo kuendelea na shughuli za baba. Kuna mifano ya kwamba watu walioishi na viongozi wa muda tu waliamua kuwa na mfalme wakati wa vita wakiona uongozi mwenye nguvu ni lazima. Kulitokea pia ya kwamba kiongozi aliyeteuliwa kwa kipindi cha matatizo au vita alionekana kuwa na uwezo akaendelea hadi kifo na kumpatia mtoto wake nafasi ya mrithi wakati bado alikuwa na nguvu.
 
==Historia ya Biblia kama mfano wa kuanzishwa kwa ufalme==
Biblia inasimulia mfano jinsi gani watu wa [[Israeli ya Kale]] walioongozwa kila mahali na wazee lakini kama walipata matatizo makubwa viongozi walijitokeza walioitwa "maamuzi" na kuwa na jukumu za kijeshi pamoja na kisheria. Kitabu cha Maamuzi 8#22 kinaonyesha pia jinsi gani swali la ufalme lilikua na ugumu; mwamuzi [[Gideon]] alipoombwa na watu kuwa mfalme alikataa na kudokeza ya kwamba Mungu pekee anastahili kuwa na cheo hiki. Baadaye [[Sauli]] alijitokeza kama kiongozi dhidi ya tishio la Waamoni alipowashinda vitani watu walimfanya Sauli mfalme wao wa kwanza. Mataifa mengi walipata ufalme kwa njia zilizofanana na Israeli ya Kale yaani wakati wa vita ambako wengi walikubali haja la kiongozi mwenye nguvu.
 
==Kupinduliwa kwa wafalme au kubanwa kwa madaraka yao==
Mfano mashuhuri wa kinyume ni historia ya [[Athens]] au [[Roma ya Kale]] ambao zilitawaliwa zamani na wafalme lakini viongozi wa miji hii walifukuza wafalme baada ya kuona tabia za kidikteta na upuuzi wa haki za watu na kuanzisha jamhuri zilizoteuliwa na viongozi waliochaguliwa kwa muda tu. Lakini Roma ya Kale ilirudi kwa mfumo wa ufalme tangu Kaisari Augusto ingawa kwa jina iliendelea kama jamhuri hadi mwisho.
 
Mara nyingi wafalme waliunganisha nafasi za mkuu wa serikali na kiongozi wa jeshi na jaji mkuu. Mataifa mbalimbali walimjua mfalme pia katika nafasi ya kidini kama [[kuhani]] mkuu au kama mkuu anayeshika nafasi ya Mungu duniani.
 
Mamlaka makubwa ya wafalme yalisababisha mara nyingi jitihada za kubana madaraka yao. Mfano mashuhuri ni [[Uingereza]] ambako wafalme walipaswa kushauriana na [[bunge]] ya wakubwa na wawakilishi wa miji kabla ya kukusanya kodi kwa ajili ya vita au kwa shughuli maalumu. Jmabo kama hili halikutokea katika Uingereza pekee lakini katika nchi hii bunge lilikuwa taasisi ya kudumu isiyofutwa tena na hivyo kuwa chanzo kwa muundo wa [[ufalme wa kikatiba]] ambako mamlaka ya mfalme yako chini ya sheria fulani.
Tangu uhuru wa [[Uholanzi]], [[Marekani]] na baadaye [[mapinduzi ya Kifaransa]] nafasi ya ufalme ilianza kupungua katika Ulaya na kutoka hapa pia katika sehemu nyingine za dunia. Hasa baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia falme muhimu kama [[Ujerumani]], [[Austria-Hungaria]], [[Urusi]] na [[Milki ya Osmani]] zilibadilisha mfumo wa utawala zikawa jamhuri.
 
==Ukoloni na ufalme==
[[Ukoloni]] wa [[karne ya 19]] ulisababisha kupotea kwafalme nyingi dunani. Mwanzoni wakoloni walitumia mara nyingi wafalme na watemi waliokuwepo kama makala wa utawala wao ndani za koloni. Lakini kadri walivyounganisha falme mbalimali za kale ndani ya maeneo mapya makubwa yaliyoendelea kuwa mataifa mapya walidhoofisha pia nafasi ya ufalme wa kieneo. Nchi za [[Afrika]] zilipopata uhuru mara nyingi zilijitangaza kuwa jamhuri na kwa njia hii falme za kale za Afrika ama zilifutwa au kupoteza madaraka za kiutawala na kubaki kwa jina tu kama taasisi za kiutamaduni.
[[Picha:World Monarchies.png|thumb|300px|Nchi zenye mfumo wa ufalme<br> nyekundu: Ufalme bila masharti ya kikatiba; chungwa: ufalme chini ya masharti kiasi ya kikatiba; kijani: ufalme wa kikatiba; kijani kibichi: nchi za [[Jumuiya ya Madola]] chini ya malkia wa Uingereza; dhambarau: ufalme wa kieneo chini ya ngazi ya jamhuri ya kitaifa]]
 
==Ufalme leo==
Kuna nchi 44 dunaini zilizoendela na mfumo wa ufalme hadi karne ya 21. (lnganisha jedwali). Ufalme wa kale ni Japani ambako kuna wafalme tangu zaidi ya miaka 2000. ni [[United Kingdom]],where the present line of Kings and Queens has been around for nearly 1,000 years, [[Denmark]] where the royal line has remained unbroken for almost 1,200 years, and [[Japan]], which has records showing a line of Emperors dating back even farther.
{| border="2" cellpadding="4" cellspacing="0" style="margin: 1em 1em 1em 0; border: 1px #aaa solid; border-collapse: collapse; font-size: 95%;"
|-
!colspan="2"|<big>Nchi</big>
! rowspan=1 valign="top" |
<big>Aina ya ufalme</big>
! rowspan=1 solid black;" valign="top" |
<big>Cheo</big>
! rowspan=1 solid black;" valign="top" |
<big>Jina </big>
! rowspan=1 solid black;" valign="top" |
<big>Maelezo</big>
|-
|[[picha:Flag of Japan.svg|border|31px]]
|[[Japan]]
|Ufalme wa kikatiba - mamlaka ya bunge
|[[Tenno]]
|[[Akihito]]
|Tenno hana madaraka ya kisiasa. Tangu 1945 ni mwakilishi wa taifa pekee. Japani ni ufalme wa kale duniani tangu zaidi ya miaka 2500. Cheo cha tenno chamaanisha „mtawala wa kimbingu“
|-
|[[picha:Flag of Antigua and Barbuda.svg|31px]]
|[[Antigua na Barbuda]]<ref name="Commonwealth Realms">Nchi ya [[Jumuiya ya Madola]] ambako malkia ya Uingereza ni mkuu wa dola anayewakilishwa na [[gavana]] mkuu''</ref>
|rowspan="3"|Ufalme wa kikatiba - chini ya usimamizi wa bunge
|rowspan="3"|[[malkia]]
|rowspan="3"|[[Elizabeth II wa Uingereza]]
|—
|-
|[[Picha:Flag of Australia.svg|31px]]
|[[Australia]]<ref name="Commonwealth Realms"/>
|—
|-
|[[Picha:Flag of the Bahamas.svg|31px]]
|[[Bahamas]]<ref name="Commonwealth Realms"/>
|—
|-
|[[Picha:Flag of Bahrain.svg|border|31px]]
|[[Bahrain]]
|Ufalme wa kikatiba
|[[Mfalme]]
|[[Hamad ibn Isa Al Khalifa]]
|Hadi 2002 Emirati, baadaye ufalme; tangu mabadiliko ya kisiasa imekuwa ufalme wa kikatiba
|—
|-
|[[Picha:Flag of Barbados.svg|31px]]
|[[Barbados]]<ref name="Commonwealth Realms"/>
|Ufalme wa kikatiba - mamlaka ya bunge-
|[[Malkia]]
|[[Elizabeth II wa Uingereza]]
|—
|-
|[[Picha:Flag of Belgium.svg|31px]]
|[[Ubelgiji]]
|Ufalme wa kikatiba - mamlaka ya bunge
|[[Mfalme]]
|[[Albert II (Ubelgiji)|Albert II]]
|—
|-
|[[Picha:Flag of Belize.svg|31px]]
|[[Belize]]<ref name="Commonwealth Realms"/>
|Ufalme wa kikatiba - mamlaka ya bunge
|[[malkia]]
|[[Elizabeth II wa Uingereza ]]
|—
|-
|[[Picha:Flag of Bhutan.svg|31px]]
|[[Bhutan]]
|Ufalme wa kikatiba
|[[Mfalme]]
|[[Jigme Khesar Namgyel Wangchuck]]
|[[ 1907 hadi 18 Julai 2008 ufalme bila masharti, tangu 2008 ufalme wa kikatiba
|—
|-
|[[Picha:Flag of Denmark.svg|31px]]
|[[Denmark]]
|rowspan="3"|Ufalme wa kikatiba - mamlaka ya bunge
|rowspan="3"|[[malkia]]
|[[Margrethe II (Denmark)|Margrethe II]]
|Mfalme / malkia wa Denmark ni pia mkuu wa nchi ya [[Greenland]] na ya [[Visiwa vya Faroe]].
|—
|-
|[[Picha:Flag of Grenada.svg|31px]]
|[[Grenada]]<ref name="Commonwealth Realms"/>
|rowspan="2"|[[Elizabeth II wa Uingereza ]]
|—
|-
|[[Picha:Flag of Jamaica.svg|31px]]
|[[Jamaika]]<ref name="Commonwealth Realms"/>
|—
|-
|[[Picha:Flag of Jordan.svg|31px]]
|[[Jordan]]
|rowspan="2"|Ufalme wa kikatiba
|rowspan="2"|[[Mfalme]]
|[[Abdullah II]]
|nchi ilianzishwa 1921 na [[Ufalme wa Maungano]]
|—
|-
|[[Picha:Flag of Cambodia.svg|31px]]
|[[Kambodia]]
|[[Norodom Sihamoni]]
|hadi 1955 na tangu 1993 ufalme
|—
|-
|[[Picha:Flag of Canada.svg|31px]]
|[[Kanada]]<ref name="Commonwealth Realms"/>
|Ufalme wa kikatiba - mamlaka ya bunge
|rowspan="2"|[[malkia]]
|[[Elizabeth II wa Uingereza ]]
|—
|-
|[[Picha:Flag of the Netherlands.svg|31px]]
|[[ Ufalme wa Nchi za Chini]] (Uholanzi)
|rowspan="3"|Ufalme wa kikatiba - mamlaka ya bunge
|[[Beatrix (Uholanzi)|Beatrix I]]
|Ufalme unajumlisha Uholanzi katika Ulaya na majimbo ya kujitawala katima Amerika ya Kati [[Aruba]], [[Curaçao]] na [[Sint Maarten]].
|—
|-
|[[Picha:Flag of Lesotho.svg|31px]]
|[[Lesotho]]
|rowspan="3"|[[Mfalme]]
|[[Letsie III]]
|Mfalme aliitwa hadi 1965 „Mtemi Mkuu“. Mfalme hana madaraka ya kiserikali wala hatungi sheria
|—
|-
|[[Picha:Flag of Malaysia.svg|31px]]
|[[Malaysia]]
|[[Mizan Zainal Abidin]]
|Ufalme wa uchaguzi - Malaysia ina majimbo 13 na kati ya hizi usultani 9; mfalme huchaguliwa kila baada ya miaka 5 masultani 9 kati yao kwa njia ya kubadilishana nafasi; cheo cha mfalme ni Yang di-Pertuan Agong „mtawala mkuu“
|—
|-
|[[Picha:Flag of Morocco.svg|31px]]
|[[Moroko]]
|Ufalme wa kikatiba
|[[Mohammed VI (Moroko)|Mohammed VI]]
|—
|-
|[[Picha:Flag of New Zealand.svg|31px]]
|[[New Zealand]]<ref name="Commonwealth Realms"/>
|Ufalme wa kikatiba - mamlaka ya bunge
|[[malkia]]
|[[Elizabeth II wa Uingereza ]]
|—
|-
|[[Picha:Flag of Norway.svg|31px]]
|[[Norwei]]
|Ufalme wa kikatiba - mamlaka ya bunge
|[[Mfalme]]
|[[Harald V wa Norwei|Harald V]]
|Ufalme wa kujitegema tangu 1905.
|—
|-
|[[Picha:Flag of Papua New Guinea.svg|31px]]
|[[Papua Guinea Mpya]]<ref name="Commonwealth Realms"/>
|rowspan="2"|Ufalme wa kikatiba - mamlaka ya bunge
|rowspan="2"|[[malkia]]
|rowspan="2"|[[Elizabeth II wa Uingereza ]]
|—
|-
|[[Picha:Flag of the Solomon Islands.svg|31px]]
|[[Visiwa vya Solomon]]<ref name="Commonwealth Realms"/>
|—
|-
|[[picha:Flag of Saudi Arabia.svg|31px]]
|[[Uarabuni wa Saudia]]
|Ufalme bila masharti
|rowspan="3"|[[Mfalme]]
|[[Abdullah ibn Abd al-Aziz|ʿAbd Allah ibn ʿAbd al-ʿAziz]]
|Ufalme wa Kiislamu uliounganshwa 1931
|-
|[[picha:Flag of Sweden.svg|31px]]
|[[Uswidi]]
|rowspan="2"|Ufalme wa kikatiba - mamlaka ya bunge
|[[Carl XVI Gustaf]]
|
|-
|[[Picha:Flag of Spain.svg|31px]]
|[[Hispania]]
|[[Juan Carlos I (Hispania)|Juan Carlos I]]
|Ufalme hadi 1931; tena tangu 1947 chini ya dikteta Franco bila mfalme na tangu 1975 chini ya mfalme Juan Carlos
|-
|[[Picha:Flag of Saint Kitts and Nevis.svg|31px]]
|[[St. Kitts na Nevis]]<ref name="Commonwealth Realms"/>
|rowspan="3"|Ufalme wa kikatiba - mamlaka ya bunge
|rowspan="3"|[[malkia]]
|rowspan="3"|[[Elizabeth II wa Uingereza ]]
|—
|-
|[[Picha:Flag of Saint Lucia.svg|31px]]
|[[St. Lucia]]<ref name="Commonwealth Realms"/>
|—
|-
|[[Picha:Flag of Saint Vincent and the Grenadines.svg|31px]]
|[[Saint Vincent na Grenadini]]<ref name="Commonwealth Realms"/>
|—
|-
|[[Picha:Flag of Swaziland.svg|31px]]
|[[Uswazi]]
|Ufalme bila masharti
|rowspan="3"|[[Mfalme]]
|[[Mswati III.]]
|Harakati ya kidemokrasia iko njiani
|-
|[[Picha:Flag of Thailand.svg|31px]]
|[[Uthai]]
|rowspan="2"|Ufalme wa kikatiba
|[[Bhumibol Adulyadej]] (Rama IX)
|
|-
|[[Picha:Flag of Tonga.svg|31px]]
|[[Tonga]]
|[[George Tupou V]]
|
|-
|[[Picha:Flag of Tuvalu.svg|31px]]
|[[Tuvalu]]<ref name="Commonwealth Realms"/>
|rowspan="2"|Ufalme wa kikatiba - mamlaka ya bunge
|rowspan="2"|[[malkia]]
|rowspan="2"|[[Elizabeth II wa Uingereza ]]
|—
|-
|[[Picha:Flag of the United Kingdom.svg|31px]]
|[[Ufalme wa Maungano]]
|Malkia wa Uingereza ni pia mkuu wa nchi kwa „maeneo chini ya taji la Uingereza“ ambayo ni [[Guernsey]], [[Jersey]], [[Isle of Man]] halafu kwa [[Eneo la ng'ambo la Uingereza|maeneo ya ng’ambo ya Ufalme wa Maungano]] kama vile:, [[Anguilla]], [[Bermuda]], [[Visiwa vya Virgin vya Uingereza]], [[Eneo la Uingereza katika Bahari Hindi]], [[Visiwa vya Cayman]], [[Visiwa vya Falkland]], [[Gibraltar]], [[Montserrat]], [[Visiwa vya Pitcairn]], [[Saint Helena]], [[Visiwa vya South Georgia na South Sandwich]] na [[Visiwa vya Turks-na Caicos]].
|- bgcolor="#DADADA"
!colspan="6"|'''[[Utemi]]'''
|-
|[[Picha:Flag of Luxembourg.svg|31px]]
|[[Luxemburg]]
|Ufalme wa Kikatiba – chini ya mamlaka ya bunge
|[[Mtemi Mkubwa]]
|[[Henri (Luxemburg)|Henri I]]
|-
|rowspan="2"|[[Picha:Flag of Andorra.svg|31px]]
|rowspan="2"|[[Andorra]]
|rowspan="2"|Ufalme wa kikatiba - mamlaka ya bunge
|rowspan="2"|Watawala wa pamoja
|[[Askofu]] [[Joan Enric Vives i Sicília]]
|rowspan="2"|Andorra ina watawala wawili wenye madaraka na heshima ya pamoja ambayo ni askofu wa Urgel (Hispania) na Rais wa Ufaransa
|-
|[[Nicolas Sarkozy]]
|-
|[[Picha:Flag of Liechtenstein.svg|31px]]
|[[Liechtenstein]]
|rowspan="2"|Ufalme wa kikatiba
|rowspan="2"|[[Mtemi]]
|[[Hans Adam II (Liechtenstein)|Hans Adam II]]
|—
|-
|[[Picha:Flag of Monaco.svg|border|31px]]
|[[Monaco]]
|[[Albert II (Monaco)|Albert II]]
|—
|- bgcolor="#DADADA"
!colspan="6"|''' [[Usultani]] na [[Emirati]]'''
|-
|[[Picha:Flag of Brunei.svg|31px]]
|[[Brunei]]
|rowspan="2"|Ufalme bila masharti
|rowspan="2"|[[Sultani]]
|[[Hassanal Bolkiah]]
|—
|-
|[[Picha:Flag of Oman.svg|border|31px]]
|[[Oman]]
|[[Qabus ibn Said]]
|—
|-
|[[Picha:Flag of Qatar.svg|border|31px]]
|[[Katar]]
|Ufalme bila masharti
|rowspan="2"|[[Emir]]
|[[Hamad bin Chalifa Al Thani]]
|—
|-
|[[Picha:Flag of Kuwait.svg|31px]]
|[[Kuwait]]
|Ufalme wa kikatiba
|[[Sabah al-Ahmad al-Dschabir as-Sabah]]
|Hadi 1991 ufalme bila masharti, tangu 1996 ina bunge
|-
|[[Picha:Flag of the United Arab Emirates.svg|31px]]
|[[Falme za Kiarabu]]
|[[Shirikisho]]-Ufalme wa kikatiba
|[[Rais]]
|[[Chalifa bin Zayid Al Nahyan]]
|Ufalme wa uchaguzi: kuna emirati 7; kila emir angeweza kuchaguliwa kuwa rais wa shirikisho lakini hadi sasa ni Emir wa Abu Dhabi ambayo ni sehemu kubwa na tajiri aliyechaguliwa kila safari.
|- bgcolor="#DADADA"
!colspan="6"|'''Eneo la Vatikani'''
|-
|[[Picha:Flag of the Vatican City.svg|border|31px]]
|[[Vatikani]]
|Ufalme bila masharti
|[[Papa]]
|[[Papa_Benedikto_XVI|Benedikto_XVI]]
|Ufalme bila masharti wa mwisho katika Ulaya; Papa huchaguliwa na mkutano wa mkardinali
|}
<references/>
 
 
<!-- interwiki -->
 
[[Category:serikali]]
 
[[af:Monargie]]
[[als:Monarchie]]
[[ar:ملكية]]
[[an:Monarquía]]
[[zh-min-nan:Kun-ông-chè-tō͘]]
[[ba:Монархия]]
[[be:Манархія]]
[[be-x-old:Манархія]]
[[bo:རྒྱལ་སྲིད།]]
[[bs:Monarhija]]
[[br:Rouantelezh]]
[[bg:Монархия]]
[[ca:Monarquia]]
[[cv:Монархи]]
[[cs:Monarchie]]
[[cy:Brenhiniaeth]]
[[da:Monarki]]
[[de:Monarchie]]
[[et:Monarhia]]
[[el:Μοναρχία]]
[[en:Monarchy]]
[[es:Monarquía]]
[[eo:Monarkio]]
[[eu:Monarkia]]
[[fa:پادشاهی]]
[[hif:Rajshahi]]
[[fo:Kongsveldi]]
[[fr:Monarchie]]
[[fy:Monargy]]
[[ga:Monarcacht]]
[[gl:Monarquía]]
[[hak:Kiûn-chú-chṳ]]
[[xal:Хаани йосн]]
[[ko:군주제]]
[[hi:राजतन्त्र]]
[[hr:Monarhija]]
[[io:Monarkio]]
[[id:Monarki]]
[[ia:Monarchia]]
[[is:Konungsríki]]
[[it:Monarchia]]
[[he:מונרכיה]]
[[jv:Monarki]]
[[krc:Монархия]]
[[ka:მონარქია]]
[[kv:Монархия]]
[[la:Monarchia]]
[[lv:Monarhija]]
[[lb:Monarchie]]
[[lt:Monarchija]]
[[hu:Monarchia]]
[[mk:Монархија]]
[[ml:രാജവാഴ്ച]]
[[arz:ملكيه]]
[[ms:Pemerintahan beraja]]
[[mwl:Monarquie]]
[[mn:Хаант засаглал]]
[[nah:Centēpacholiztli]]
[[nl:Monarchie]]
[[nds-nl:Monaarchie]]
[[ja:君主制]]
[[no:Monarki]]
[[nn:Monarki]]
[[oc:Monarquia]]
[[uz:Monarxiya]]
[[pnb:بادشآئی]]
[[nds:Monarkie]]
[[pl:Monarchia]]
[[pt:Monarquia]]
[[crh:Monarhiya]]
[[ro:Monarhie]]
[[qu:Qhapaq suyu]]
[[rue:Монархія]]
[[ru:Монархия]]
[[sah:Монархия]]
[[sc:Monarchia]]
[[sq:Monarkia]]
[[scn:Munarchìa]]
[[ss:Bukhosi]]
[[sk:Monarchia]]
[[sl:Monarhija]]
[[sr:Монархија]]
[[sh:Monarhija]]
[[fi:Monarkia]]
[[sv:Monarki]]
[[tl:Monarkiya]]
[[ta:முடியாட்சி]]
[[tt:Монархия]]
[[th:ราชาธิปไตย]]
[[tr:Monarşi]]
[[uk:Монархія]]
[[vec:Monarchìa]]
[[vi:Chế độ quân chủ]]
[[fiu-vro:Monarhia]]
[[vls:Monarchie]]
[[war:Monarkyá]]
[[yi:קעניגרייך]]
[[yo:Àdájọba]]
[[bat-smg:Muonarkėjė]]
[[zh:君主制]]