Upepo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: jv:Angin
umeme wa upepo
Mstari 4:
Kwa lugha ya metorolojia kuna mwendo kutoka eneo la shindikizo juu la hewa kwa eneo eneo lenye shindikizo duni ya hewa.
 
Kuna aina nyingi za upepo. Upepo mkali huitwa [[dhoruba]]. Ikizunguka ndani yake ni [[tufani]], na tufani ikianza baharini ni [[kimbunga]].
 
Nguvu ya upepo ilitumiwa na binadamu tangu karne nyingi kwa njia ya teknolojia mbalimbali kama vile
*[[jahazi]] na usafiri wa maji
*kuendesha mashine za kusaga nafaka
*kuendesha pampu za maji kwa [[umwagiliaji]]
 
Tangu karne ya 20 nguvu ya upepo imetumiwa pia kutengeneza [[umeme]]. Katika karne ya 21 [[umeme wa upepo]] umeanza kuwa chanzo muhimu wa nishati.
 
 
[[kimbunga]].
{{mbegu-sayansi}}