Umeme wa upepo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
 
Mwisho wa mwaka 2009 takriban asilimia 1.3 ya mahitaji ya umeme duniani zilikuwa umeme wa upepo. <ref>World Wind Energy Association (2008). [http://www.wwindea.org/home/images/stories/pr_statistics2007_210208_red.pdf Wind turbines generate more than 1 % of the global electricity]</ref> Lakini nchi kadhaa zilizotangulia kuendesha teknolojia hii zinapata kiasi kikubwa zaidi. Nchi inayopata kiwango kikubwa cha mahitaji yake ya umeme ni Denmark yenye asilimia 20 za umeme wa upepo. <ref name="Glob"> [http://www.gwec.net/uploads/media/07-02_PR_Global_Statistics_2006.pdf Global wind energy markets continue to boom – 2006 another record year] (PDF).</ref><ref>Global Wind Energy Council (2009). [http://www.gwec.net/fileadmin/documents/Publications/Global%20Wind%202008%20Report.pdf Global Wind 2008 Report], p. 9, accessed on January 4, 2010.</ref> Katika [[Hispania]] ni 11% na 9% katika [[Eire]]. <ref>[[International Energy Agency]] (2009). [http://www.ieawind.org/AnnualReports_PDF/2008/2008%20AR_small.pdf IEA Wind Energy: Annual Report 2008] p. 9.</ref>
 
Katika Afrika ni hasa [[Afrika Kusini]] iliyoanza kutumia chanzo hiki cha nishati. Nchini [[Kenya]] [[Mradi wa umeme wa upepo wa Ziwa Turkana]] ulianzishwa mwaka 2010 unaotegea kutoa megawati 300 baada ya kukamilika.<ref>http://laketurkanawindpower.com/ </ref>
 
==Jinsi ya kutumia nguvu ya upepo==