Saksonia-Anhalt : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Waziri
histoia
Mstari 9:
 
[[Elbe]] na [[Saale]] ni mito muhimu zaidi.
 
==Historia==
Jimbo la Saksonia Anhalt lilianzishwa mwaka 1945 kwa kuunganisha maeneo mawili: [[Mkoa wa Saksonia]] (Sachsen) wa [[Prussia]] na jimbo la [[Anhalt]]. 1949 likawa sehemu ya [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani]] (Ujerumani ya Mashariki). Kutokana na harakati ya kubadilisha utawala katika Ujerumai ya Mashariki jimbo liligawiwa kuwa mikoa 2 ya Halle und Magdeburg na jimbo lilifutwa.
 
Wakati wa maungano ya Ujerumani mikoa ya awali ilibatilishwa na jimbo la Sachsen-Anhalt liliundwa tena mwaka 1990.
 
== Picha za Saksonia-Anhalt ==