Gavana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
picha
Mstari 1:
'''Gavana''' ''([[Kiing.]] governor - mwenye kutawala)'' ni cheo cha kiongozi wa kisiasa au kiutawala kwenye ngazi mbalimbali.
[[File:Schwarzenegger Bush.jpg|thumb|Gavana [[Arnold Schwarzenegger]] wa jimbo la [[Kalifornia]] akiongea na rais wa Marekani [[George W. Bush]] tar. 16 Oktoba 2003.]]
==Gavana kama waziri mkuu wa jimbo katika shirikisho==
Kuna nchi ambako gavana ni mtendaji mkuu wa serikali katika dola la [[shirikisho]] au [[jimbo]]. Kwa mfano katika [[Marekani]] ina madola 50 ndani yake na kila moja huwa na gavana kama mkuu wa serikali ya kidola. Cheo hiki kinalingana na [[waziri mkuu]] wa sehemu ya nchi yenye kiwango cha kujitawala na bunge lake pamoja na serikali ya kieneo kwa mfano waziri mkuu wa jimbo la [[Afrika Kusini]] au [[Ujerumani]].