Kideni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kidenmark umesogezwa hapa Kideni: Kamusi ya Kiswahili
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Danishdialectmap.png|thumb|right|Danish dialects]]
'''KidenmarkKideni''' ni moja kati ya lugha za [[Kigermanik]], kinazungumzwa nchini [[DenmarkDenmaki]], [[Kisiwa cha Faroe]], na sehemu kadhaa za [[GreenlandGrinlandi]] na [[Ujerumani]] (Kusini mwa Schleswig). Idadi ya wasemaji wa lugha hii inakadiriwa kuwa ni milioni 5,5. Nchini GreenlandGrinlandi na Kisiwani Faroe, lugha hii inatumika kama ya pili kitaifa. Kwa watu wa DenmarkDenmaki, au DanesWadeni, lugha hii inajulikana kama ''dansk''.
 
Hapa kuna mifano miwili ya KidenmarkKideni:
 
{| class=wikitable
! Kiswahili !! KidenmarkKideni
|-
| Salam || Hej
Mstari 73:
{{mbegu-lugha}}
 
{{DEFAULTSORT:DenmarkDenmaki}}
<!-- interwiki -->
 
[[Jamii:Lugha za Kigermanik]]
[[Jamii:DenmarkDenmaki]]
[[Jamii:Lugha za Ulaya]]