Kideni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Danishdialectmap.png|thumb|right|DanishLahaja dialectsza Kideni]]
'''Kideni''' ni moja kati ya lugha za [[Kigermanik]], kinazungumzwa nchini [[Denmaki]], [[Kisiwa cha Faroe]], na sehemu kadhaa za [[Grinlandi]] na [[Ujerumani]] (Kusini mwa Schleswig). Idadi ya wasemaji wa lugha hii inakadiriwa kuwa ni milioni 5,5. Nchini Grinlandi na Kisiwani Faroe, lugha hii inatumika kama ya pili kitaifa. Kwa watu wa Denmaki, au Wadeni, lugha hii inajulikana kama ''dansk''.