Udeni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Badiliko: arc:ܕܐܢܡܐܪܩ
No edit summary
Mstari 1:
{{Infobox Country|
native_name = ''Kongeriget Danmark'' |
conventional_long_name = Ufalme wa DenmarkDenmaki |
common_name = Denmark Denmaki|
image_flag = Flag of Denmark.svg |
image_coat = National Coat of arms of Denmark.svg |
Mstari 8:
image_map = LocationDenmark.png |
national_anthem = ''[[Der er et yndigt land]]'' (kitaifa);<br />''[[Kong Christian]]'' (kifalme) |
official_languages = [[KidenmarkKideni]]<sup>1</sup> |
capital = [[Kopenhagen]] |
latd=55|latm=43|latNS=N|longd=12|longm=34|longEW=E|
government_type = [[Ufalme wa kikatiba]] |
leader_titles = [[Wafalme wa DenmarkDenmaki|Malkia]] <br /> [[Mawaziri Wakuu wa DenmarkDenmaki|Waziri Mkuu]]|
leader_names = [[Margrethe II wa DenmarkDenmaki|Margrethe II]]<br /> [[Lars Løkke Rasmussen]]|
leader_name2 = |
largest_city = [[Kopenhagen]] |
Mstari 50:
calling_code = 45<sup>3</sup> |
vehicle_code = DK |
footnotes = <sup>1</sup> Habari zote za DenmarkDenmaki bila [[Faroe]] na [[GreenlandGrinlandi]].
}}
[[Picha:Da-map.png|left|thumb|330px|left|Ramani ya DenmarkDenmaki]]
 
'''DenmarkDenmaki''' (pia '''''DenmakiDenimaki''''' (au '''''DenimakiDenmak'''''; au[[Kideni]]: ''Kongeriget Danmark'''Denmak''''') - ; [[KidenmarkKiingereza]]: ''Kongeriget Danmark'''Denmark''''') ni ufalme ya [[Ulaya]] ya Kaskazini. Ni nchi ndogo kati ya nchi za [[Skandinavia]]. Imepakana na [[Ujerumani]] kwa kusini na kuzungukwa na maji pande tatu. Kaskazini yake iko [[Norwei|Unowe]] ng'ambo ya mlango wa bahari ya [[Skagerak]], mashariki iko [[Uswidi]] ng'ambo ya [[Kattegat]] na [[Oresund]]. [[Bahari ya Kaskazini]] iko upande wa magharibi, [[Baltiki]] inaanza kwenye visiwa vikuu vya DenmarkDenmaki.
 
=== Eneo ===
DenmarkDenmaki ina eneo la 43.000&nbsp;km². Theluthi ya eneo hili ni kwenye visiwa 443 vya DenmarkDenmaki ambavyo 76 kati vyao vinakaliwa na watu.
 
Rasi ya [[Jutland]] ni sehemu kubwa ya eneo. Jutland ni DenmarkDenmaki bara. Ina urefu wa 300&nbsp;km kuelekea kaskazini kutoka mpaka wa Ujerumani hadi ncha yake kwa [[Skagen]].
 
Kwa jumla DenmarkDenmaki iko tambarare. Mlima wa juu ina kimo wa 170 [[m]] juu ya [[UB]] pekee.
 
Visiwa vikubwa ni [[Funen]] (''Fyn''), [[Zealand]] (''Sjælland'') na [[Bornholm]] (''Bornholm'').
 
[[GreenlandGrinlandi]] na visiwa vya [[Faroe]] ni sehemu ya ufalme wa DenmarkDenmaki lakini zinajitawala.
 
== Historia ==
{{main|Historia ya DenmarkDenmaki}}
 
WadenmarkWadeni wa kwanza waliojulikana katika historia kwa jina ni makabila ya Wakimbri na Wateutonia waliohamia hadi Ulaya ya kusini wakati wa njaa mnamo mwaka 113 KK.
 
Katika karne za 8 hadi ya 11 [[BK]] majambazi wa baharini kutoka DenmarkDenmaki na NorwayUnowe waliogopwa kote Ulaya kwa jina la "[[WavikingWavikingi]]".
Walivamia pia [[Uingereza]] mara kwa mara na kujenga makao huko. Tangu mwaka 793 walitawala eneo la ''Danelag'' (au[[Kiswahili]]: [[DanelawSheria ya Wadeni]]) iliyoenea katika kaskazini na kaskazini-mashariki ya Uingereza wa leo.
 
Katika karne ya tisa na karne ya kumi maeneo madogo yaliunganishwa. Wafalme wa kwanza wanaojulikana kutawala DenmarkDenmaki yote walikuwa [[Garm Mzee]] na [[Harald Jino Buluu]] (mnamo mwaka 980 BK). Harald alikuwa mfalme wa kwanza wa kupokea [[Ukristo]] wa kikatoliki. DenmarkDenmaki ikawa nchi yenye nguvu katika Skandinavia na kwenye pwani za Baltiki.
 
Kati ya 1397 hadi 1521 nchi zote za Skandinavia ziliunganishwa katika [[maungano ya kifalme]] chini ya wafalme wa DenmarkDenmaki ilhali kila nchi ilijitawala katika mambo ya ndani. Baada ya Uswidi kujitenga na umoja huu Norway iliendela kuwa chini ya DenmarkDenmaki hadi mwaka 1814.
 
Mwaka 1537 DenmarkDenmaki ilijiunga na mwendo wa [[Matengenezo ya Kanisa]] na [[kanisa la Kiluteri]] likawa [[dini rasmi]] nchini. DenmarkDenmaki ilikuwa kati ya nchi muhimu sana ya Uluteri.
 
Baada ya vita za [[Napoleoni]] DenmarkDenmaki iliondolewa utawala wa Norway iliyounganishwa na Uswidi mwaka 1814. Lakini koloni za GreenlandGrinlandi, IcelandAisilandi, Faroe na visiwa vya Karibi zilibaki kwa nchi.
 
Karne ya 19 ilileta fitina na Ujerumani juu ya utawala wa [[Schleswig]] na [[Holstein]]. Baada ya vita ya 1864 DenmarkDenmaki ilipaswa kuacha majimbo haya mawili kwa Ujerumani.
 
DenmarkDenmaki haikushiriki katika [[Vita Kuu ya Dunia ya Kwanza]] lakini ilirudishwa sehemu ya kaskazini ya jimbo la Schleswig.
 
Wakati wa [[Vita Kuu ya Dunia ya Pili]] DenmarkDenmaki ilivamiwa na Ujerumani mwaka [[1940]] hadi 1945. Wakati wa vita [[IcelandAisilandi]] iliamua kutangaza uhuru wake. 1948 mara baada ya vita visiwa vya [[Faroe]] vilipewa madaraka ya kujitawala lakini vilibaki ndani ya umoja na DenmarkDenmaki. Koloni ya [[GreenlandGrinlandi]] ilipewa madaraka haya mwaka 1979.
 
DenmarkDenmaki ikawa kati ya nchi zilizounda [[UM]] na pia [[NATO]]. Mwaka 1973 ikajiunga na [[Jumuiya ya Ulaya]] (sasa: [[Umoja wa Ulaya]]).
 
== Waja ==
Mstari 97:
{{Ulaya}}
 
[[Jamii:DenmarkDenmaki| ]]
 
{{Link FA|be-x-old}}