Reykjavík : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: dsb:Reykjavík |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Reykjavík séð úr Hallgrímskirkju.jpeg|thumb|350px|Mji wa Reykjavik]]
'''Reykjavík''' ''(tamka: reykyavik)'' ni [[mji mkuu]] pia mji mkubwa wa [[
== Jiografia ==
Iko kwenye pwani la kusini la
Reykjavik inafaidika na kukaa kwenye mahali pa kukutana kwa [[mabamba ya gandunia]] ya Ulaya na Amerika ya Kaskazini. [[Magma]] ya [[koti ya dunia]] iko karibu na uso wa nchi inasababisha maji kwenye ardhi kuwa moto. Maji ya moto haya hutumiwa kwa kupasha moto nyumba za kukalia watu pia [[bustani za mabandani]]. Nishati inapatika kwa rahisi kiasi cha kwamba katika mazingira ya barafu kuna hata mavuno ya ndizi kwenye bustani za mabandani zinazopashwa moto kwa maji yale ya chini ya ardhi.
Mstari 33:
<!-- Interwiki -->
[[Jamii:Miji ya
[[Jamii:Miji Mikuu Ulaya|Reykjavik]]
|