Skandinavia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: so:Skandinafiyen
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Norden.jpg|thumb|250px|BendereaBendera za nchi za Skandinavia (Ufini, Norwei, IcelandAisilandi, Uswidi na DenmarkDenmaki (imefunikwa)]]
[[Picha:Skandinavia theluji.png|thumb|250px|Picha ya angani ya Skandinavia wakati wa majira ya baridi - rangi nyeupe ni theluji na barafu inayofunika nchi yote pamoja na sehemu za bahari]]
'''Skandinavia''' ni eneo la [[Ulaya]] ya Kazkazini. Kwa kawaida neno linataja nchi tano za [[Norwei]], [[Uswidi]], [[DenmarkDenmaki]], [[Ufini]] na [[IcelandAisilandi]].
 
Kwa njia nyingine "Skandinavia" ni nchi mbili za [[rasi ya Skandinavia]] pekee yaani Norwei na Uswidi.